Inategemea na aina ya divorce na ilikuaje yeye ameumiza au ameumizwa, alitoa talaka kwa hiari au kwa lazima, aliacha akiwa anapenda au vipi
Kama aliachwa basi jiandae kudeal na kisirani chake, kama aliumizwa basi jitahidi usiwe sababu ya kumkumbushia machungu ya alikotoka na pia usimpe sababu ya kuona wanawake wote sawa,
Ikiwa ametoka kwenye ndoa ambayo mke ndo likua kivuruge basi kwa asilimia [emoji817] kuna vitu amevikosa na amevimiss, treat him well, mdekeze kama mtoto trust me utaenjoy sana [emoji39][emoji39]