Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

Habari hii ni ya upande mmoja tu, sijui upande wa Pili Wana maoni gani?

Absolutely.
Waliishi vipi maisha yao katika kipindi chote hadi wakafanikiwa kupata watoto wawili walionao?? Maisha yao yalikuwaje?Nini kimebadilika Sasa?

Anapaswa kutoa full details ili aweze kusaidika vizuri.
Zamani kabla atujazaa tulikuwa tunaishi na ananipa keshi iyo elf 5 Kwakipind kile n nying gharam za matumiz azikuwa juu my mchel adi 1200 unapata na mpo wawil na tulikuwa atuna familia lakn sasa familia ipo lakin kipato kilekile ..ata uongee ...na wifi yangu yupo na mtt mwingn lakn ni Ile Ile
 
Ndio huyu mume uliyekua unamtafuta?

Duuh..
Kwa hiyo inawezekana huyo mume wake siyo baba watoto wake vee vivian !
 
Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi kulea watoto shida ni . tunaishi mimi na baba watoto na wifi yangu pamoja na watoto wawil wadog ambao awajafika miaka 5 pamoja na mtoto wake niliemkuta wakidato cha kwanza..ivyo familia ya watu sita lakin mwanaume anakuachia sh elf 5 tu siku nzima na hapo Amna kitu chochtote ndani na watoto ni wadogo ambao inabdi asubui upike chochte wapate kula uku tukisubir mchana na Sio mwanaume anauwezo hapana uwezo upo wakawaida na ela kidogo anapata shida ni ulevi namarafiki akipata ela atawaita marafiki zake watakaa watakunywa uku nyumbani inafika mda mtt mdogo anamiak 4 anatakiwa kuanza nasary lakini baba kumlipia mtoto elf 15 aende shule awez anasema ana hela akija akakuta nyumbn nmepika ugal na mlenda yeye ali anaenda kula vibandani tu ..kinachoniuma roho ni uyu motto miaka 4 anaingiza mitano ata kuanza shule yupo tu nyumbani jamani wanajamii naombeni uniambie niishi vip walau niweze kubana matumizi walau nipate mtaji tu niwe naingiza ata elf 1000 niweze kumpelek mtoto shule nimnunuliege na vitu vyake nisiwe mtu wa kugombana nae kila siku maana ata ukiongea sana yeye akujib n yule mtu anaekaa kimya tu utaona vitendo nawaza kuondok lakin apana bdo sijajipanga na watoto hawa na nyumbani awataki swala la kuondoka ata kidogo ..ivyo tu nahitaji ushaur niishi nae vip ili walau iyo anayotoa iwe inabaki nijiwekee akiba ata 500 kwa siku nipate mtaji najua kupika vitafuno mbalimbal ..unakuta unajibana lakin inashindikan unaishia kupata na madeni madukani nmechoka san nahitaji tu faraja walau roho yangu utulie moyo mzito sana wanajami nifanye walau nilipe Ada ya mtoto aende shule mimi nipambane mwenyew ...nb sim niliyonayo sio yakuuzika labda kama skrepa..Kwaiyo naombeni tu faraja yenu niishi vip walau nibane matumizi .. Ile kupata changu binafsi ata kidogo lakn kinikidhi maitaji yangu na watoto wangu ..moyo unaniuma sana nahitaji faraja yenu tu labda moyo utatulia na mtanipa njia nzuri yakuweka akiba sitatoka kama nilivyo kupitia izi huu ..samahani kama nmekosea
Nilitamani nikusaidie ila nilipoona kuwa miaka miwili iliyopita ulidai unatafuta mchumba Nina miaka 29, natafuta Mume
wakati ni mwalimu wa shule ya Private. Na ulikuwa na watoto wawili. Nikasita na kukubaliana na Intelligent businessman kuwa kuna uwezekano mtu akapigwa na kitu kizito.

Lakini mwaka 2020, miaka minne toka sasa, ulikuwa na umri wa miaka hiyo hiyo 27 na ulikuwa unatafuta kazi.

Huaminiki
 
Kwanza pole.....
Ila sasa kama umeona mumeo hana kipato (na wew unawaz kuondok sio sawa)

Fanya hiv omba mtaji kwa ndugu then piga biashara

Jipange tuu ,kutembeza mboga asubuhi, genge kuandaaa vtafunio lakn kama umekosa mtaji kaombe kaz za day time hata mihagahawani madukn na viwandan,

Lakn sikuhz watu wanashida na wafanyakaz kwann usiamue kufanya kaz za ndan na ukawa unarud kwako , ungalikuw karbu na mkewang ningekuunga nae
 
Habari hii ni ya upande mmoja tu, sijui upande wa Pili Wana maoni gani?

Absolutely.
Waliishi vipi maisha yao katika kipindi chote hadi wakafanikiwa kupata watoto wawili walionao?? Maisha yao yalikuwaje?Nini kimebadilika Sasa?

Anapaswa kutoa full details ili aweze kusaidika vizuri.
Hata ikiwa habari ya upande mmoja huwezi acha kupeleka mtoto shule au watoto wasile vizuri sababu ya upumbavu wenu. Labda kama na hao watoto sio wakwake .
 
Kwanza pole.....
Ila sasa kama umeona mumeo hana kipato (na wew unawaz kuondok sio sawa)

Fanya hiv omba mtaji kwa ndugu then piga biashara

Jipange tuu ,kutembeza mboga asubuhi, genge kuandaaa vtafunio lakn kama umekosa mtaji kaombe kaz za day time hata mihagahawani madukn na viwandan,

Lakn sikuhz watu wanashida na wafanyakaz kwann usiamue kufanya kaz za ndan na ukawa unarud kwako , ungalikuw karbu na mkewang ningekuunga nae
No wazo zuri ata nawaza ila Na mtt mdogo anamiak 2 nikuenda kazn inabdi nibebe ndomana nilitaka biashar niwalipie ata ada mm nihangaike najua wao wapo shule mpk mda wakurudi nyumbani ninawapitia
 
Nilitamani nikusaidie ila nilipoona kuwa miaka miwili iliyopita ulidai unatafuta mchumba Nina miaka 29, natafuta Mume
wakati ni mwalimu wa shule ya Private. Na ulikuwa na watoto wawili. Nikasita na kukubaliana na Intelligent businessman kuwa kuna uwezekano mtu akapigwa na kitu kizito.

Lakini mwaka 2020, miaka minne toka sasa, ulikuwa na umri wa miaka hiyo hiyo 27 na ulikuwa unatafuta kazi.

Huaminiki
Inawezekn natafuta mchumba uku nimechoka ndoa h hii bdae nikaja kuona n ujinga
 
Kisa cha Mpemba hukuwahi kusikia?

Jiongeze ili familia iende, umeolewa msaidiane..... sio uwe mzigo.
 
Back
Top Bottom