Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Chukua hii

 
Nimeipokea Kaka Mkubwa,
Shukrani sana.
 
MAISHA NI SASA, ISHI SASA, FURAHIA SASA,....... MAISHA HAYA TRELA, UNAVYOISHI NDIO UNAISHIA.........JIPENDE, JIHESHIMU, JITUNZE......PIGANIA NDOTO ZAKO.......
Shukrani sana Kaka Mkubwa,
Maneno mazito sana haya yaliyojaa Busara na Mafunzo mengi.
 
Nyie vimbaumbau mnaitwa wazee, mmekomaa mmezeeka, ngozi zimeanza kunyauka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Nyie vimbaumbau mnaitwa wazee, mmekomaa mmezeeka, ngozi zimeanza kunyauka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwiiiii!
Yote yetu hayo asalaleeeeeee [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
3rd floor eti hawa watoto wanatuita wazee.
Wamesahau huu ndo umri ambao tunaweza kutembea na babu zao, baba zao, na wao wenyewe 🤣🤣🤣
 
Wengine tuna miaka 37 bado tunaishi kwetu😂😂😂😂
Life begin at fote bana aalaah...
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…