Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hadi sie Vimbau Mbau nao tunaku Mashangazi au Shangazi ni kwa Wenye nyama tu?Welcome to the 3rd floor.
Tulioko huku ndo tunaitwa "mishangazi"
[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sie Vimbau Mbau nao tunaku Mashangazi au Shangazi ni kwa Wenye nyama tu?Welcome to the 3rd floor.
Tulioko huku ndo tunaitwa "mishangazi"
AaamenMwandalie yule mtoto wako future bora, tunza afya yako and be you. Happy Birthday.
Mashangazi wanaanzia kg 70+Hadi sie Vimbau Mbau nao tunaku Mashangazi au Shangazi ni kwa Wenye nyama tu?
[emoji2]
Chukua hiiGuys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,
What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles?
Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho [emoji1][emoji119]),
Wengine walisema nibadili jinsi ya kulala eti nilalie mgongo sio tumbo kuavoid wrinkles [emoji848]
Kuna hizi Facial Serum, ni sawa nikianza kuzitumia au nitazidi kuharibu ngozi yangu [emoji134],
Too Many Questions hunh!
Lol, i'm confused,
Ambao mpo kwenye 30s au zaidi mnaweza kutoa uzoefu wenu ulijipangaje kuingia kwenye 30s na ulijisikiaje ulipofika 30?
View attachment 2190434
Ooops!Mashangazi wanaanzia kg 70+
Nyie vimbaumbau mnaitwa wazee, mmekomaa mmezeeka, ngozi zimeanza kunyauka.Hadi sie Vimbau Mbau nao tunaku Mashangazi au Shangazi ni kwa Wenye nyama tu?
[emoji2]
Nimeipokea Kaka Mkubwa,Chukua hii
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika). Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni, kimtazamo, kimahusiano na kifikra pia. Kwanza lazima...www.jamiiforums.com
Shukrani sana Kaka Mkubwa,MAISHA NI SASA, ISHI SASA, FURAHIA SASA,....... MAISHA HAYA TRELA, UNAVYOISHI NDIO UNAISHIA.........JIPENDE, JIHESHIMU, JITUNZE......PIGANIA NDOTO ZAKO.......
Hahahaha sawa Lebai.
Aiseeeee!Nyie vimbaumbau mnaitwa wazee, mmekomaa mmezeeka, ngozi zimeanza kunyauka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwiiiii!Nyie vimbaumbau mnaitwa wazee, mmekomaa mmezeeka, ngozi zimeanza kunyauka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usisahau kuambiwa mna roho mbaya eti ndo maana hamnenepi 🤣🤣🤣🤣🤣.Uwiiiii!
Yote yetu hayo asalaleeeeeee [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
3rd floor eti hawa watoto wanatuita wazee.Aiseeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sanaNimeipokea Kaka Mkubwa,
Shukrani sana.
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana.Guys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,
What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles?
Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho [emoji1][emoji119]),
Wengine walisema nibadili jinsi ya kulala eti nilalie mgongo sio tumbo kuavoid wrinkles [emoji848]
Kuna hizi Facial Serum, ni sawa nikianza kuzitumia au nitazidi kuharibu ngozi yangu [emoji134],
Too Many Questions hunh!
Lol, i'm confused,
Ambao mpo kwenye 30s au zaidi mnaweza kutoa uzoefu wenu ulijipangaje kuingia kwenye 30s na ulijisikiaje ulipofika 30?
View attachment 2190434
Kumbe ni demu, ok sawa.She uyo,hauoni chuchu saa sita