Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Safi sanaaa,
Kuna dili lilitiki nikapata Pesa ndefu, nikanunua Nyumba haraka kabla ya kuzitumbua wakati huo nilikua na miaka 26 lakini sasa nimeanza kujenga nyumba ya Ndoto yangu, taratibu bila presha hadi siku itakapoisha.
Kujenga nyumba yako kuna raha yake kubwa,
Ukianza kukimbizana na bei za Vifaa na Mafundi, unaangalia kuanzia Msingi hadi Boma lasimama,
Vifaa vikianza kuongea kiinglishi hapo ndio mkanda unaanza kulegea unaukaza kila siku, [emoji23]

Kila lenye Kheir kwako na kwa Familia yako dear.
 
Wengine wanadhani gharama ya elimu ni ada pekee. Fikiria haya
1. Madaftari
2. Vitabu
3. Sare za shule
4. Viatu vya shule
5. Kalamu
6. Mkebe
7. Michango
8. Usafiri
9. etc
Hivyo ni vitu vidogo vidogo kuvimudu hatushindwi, Ada ndio mtihani.
 
Kujenga nyumba yako kuna raha yake kubwa,
Ukianza kukimbizana na bei za Vifaa na Mafundi, unaangalia kuanzia Msingi hadi Boma lasimama,
Vifaa vikianza kuongea kiinglishi hapo ndio mkanda unaanza kulegea unaukaza kila siku, [emoji23]

Kila lenye Kheir kwako na kwa Familia yako dear.
Naielewa hiyo feeling, japo nipo mbali nayo lakini inanipa raha nikiona mambo yanavyoenda kupitia video call.
 
Hivyo ni vitu vidogo vidogo kuvimudu hatushindwi, Ada ndio mtihani.
Sema sishindwi, usijumlishe watu ujuwe... Umewahi enda shule za vijijini ukaona wanafunzi na sare zao? Umewahi sikia kuna watu kwenye kula tu, wana mlo mmoja kwa siku?
Haya ada shule za serikali kabla hazijaondolewa ilikuwa shilingi ngapi? Say 70,000/- kwa mwaka.. Haya hivyo unavyoviita vidogo ni shilingi ngapi kwa mwaka? AU kwa sababu unalipa kidogokidogo ndo unaona siyo gharama?

Chukulia unampa mtoto nauli, shilingi 500/- kila siku. Kwa siku tano za wiki ni Tshs 2,500/-, mwezi 10,000/- Kwa mwaka 100,000/-. Hapo bado hivyo vingine unavyoviita vidogo vidogo
 
Hongera, unapotimiza umri wa miaka 30 unatakiwa uwekeze katika kilimo na ufugaji kwa maana kilimo ni uti wa mgongo wa taifa

Nakukaribisha uwekeze Plutnumz Kwio ni mradi wa kufuga kuku kwa njia ya mtandao, kinachohitajika ni hela yako tu ili uanze kuvuna utajiri🐒
 
Sema sishindwi, usijumlishe watu ujuwe... Umewahi enda shule za vijijini ukaona wanafunzi na sare zao? Umewahi sikia kuna watu kwenye kula tu, wana mlo mmoja kwa siku?
Haya ada shule za serikali kabla hazijaondolewa ilikuwa shilingi ngapi? Say 70,000/- kwa mwaka.. Haya hivyo unavyoviita vidogo ni shilingi ngapi kwa mwaka? AU kwa sababu unalipa kidogokidogo ndo unaona siyo gharama?

Chukulia unampa mtoto nauli, shilingi 500/- kila siku. Kwa siku tano za wiki ni Tshs 2,500/-, mwezi 10,000/- Kwa mwaka 100,000/-. Hapo bado hivyo vingine unavyoviita vidogo vidogo
Aisee bro uko deep sana,

Sawa umesomeka loud and clear.
 
Hongera, unapotimiza umri wa miaka 30 unatakiwa uwekeze katika kilimo na ufugaji kwa maana kilimo ni uti wa mgongo wa taifa

Nakukaribisha uwekeze Plutnumz Kwio ni mradi wa kufuga kuku kwa njia ya mtandao, kinachohitajika ni hela yako tu ili uanze kuvuna utajiri[emoji205]
Mr. Kuku au DECI [emoji125][emoji125][emoji23]
 
Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho
emoji1.png
emoji119.png
),
Fanya haya mawili ukifikia umri huo.

1. Uoelewe
2. Uzae

Shukrani.
 
Back
Top Bottom