Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ujifunze kupokea 30 na kuitendea haki 30.Lol,
Nijifunze jinsi ya kuipokea 30 au jinsi ya kuangalia katuni?
Nakutumia location
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujifunze kupokea 30 na kuitendea haki 30.Lol,
Nijifunze jinsi ya kuipokea 30 au jinsi ya kuangalia katuni?
Wengine wanadhani gharama ya elimu ni ada pekee. Fikiria hayaDaaah!
[emoji19]
Kujenga nyumba yako kuna raha yake kubwa,Safi sanaaa,
Kuna dili lilitiki nikapata Pesa ndefu, nikanunua Nyumba haraka kabla ya kuzitumbua wakati huo nilikua na miaka 26 lakini sasa nimeanza kujenga nyumba ya Ndoto yangu, taratibu bila presha hadi siku itakapoisha.
[emoji848]Ujifunze kupokea 30 na kuitendea haki 30.
Nakutumia location
Hivyo ni vitu vidogo vidogo kuvimudu hatushindwi, Ada ndio mtihani.Wengine wanadhani gharama ya elimu ni ada pekee. Fikiria haya
1. Madaftari
2. Vitabu
3. Sare za shule
4. Viatu vya shule
5. Kalamu
6. Mkebe
7. Michango
8. Usafiri
9. etc
Shukrani dearHongera sana
Naielewa hiyo feeling, japo nipo mbali nayo lakini inanipa raha nikiona mambo yanavyoenda kupitia video call.Kujenga nyumba yako kuna raha yake kubwa,
Ukianza kukimbizana na bei za Vifaa na Mafundi, unaangalia kuanzia Msingi hadi Boma lasimama,
Vifaa vikianza kuongea kiinglishi hapo ndio mkanda unaanza kulegea unaukaza kila siku, [emoji23]
Kila lenye Kheir kwako na kwa Familia yako dear.
[emoji134][emoji23][emoji119]Lipia tangazo...
Sema sishindwi, usijumlishe watu ujuwe... Umewahi enda shule za vijijini ukaona wanafunzi na sare zao? Umewahi sikia kuna watu kwenye kula tu, wana mlo mmoja kwa siku?Hivyo ni vitu vidogo vidogo kuvimudu hatushindwi, Ada ndio mtihani.
Aisee bro uko deep sana,Sema sishindwi, usijumlishe watu ujuwe... Umewahi enda shule za vijijini ukaona wanafunzi na sare zao? Umewahi sikia kuna watu kwenye kula tu, wana mlo mmoja kwa siku?
Haya ada shule za serikali kabla hazijaondolewa ilikuwa shilingi ngapi? Say 70,000/- kwa mwaka.. Haya hivyo unavyoviita vidogo ni shilingi ngapi kwa mwaka? AU kwa sababu unalipa kidogokidogo ndo unaona siyo gharama?
Chukulia unampa mtoto nauli, shilingi 500/- kila siku. Kwa siku tano za wiki ni Tshs 2,500/-, mwezi 10,000/- Kwa mwaka 100,000/-. Hapo bado hivyo vingine unavyoviita vidogo vidogo
Mr. Kuku au DECI [emoji125][emoji125][emoji23]Hongera, unapotimiza umri wa miaka 30 unatakiwa uwekeze katika kilimo na ufugaji kwa maana kilimo ni uti wa mgongo wa taifa
Nakukaribisha uwekeze Plutnumz Kwio ni mradi wa kufuga kuku kwa njia ya mtandao, kinachohitajika ni hela yako tu ili uanze kuvuna utajiri[emoji205]
Shukrani Bro,30's ndio mwanzo wa umri wa kuacha legacy
Fanya haya mawili ukifikia umri huo.Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho
),![]()
Hii ni mpya zaidi kuwahi kwako ndio utajiri wako, nafasi zipo chache, msimu wa mavuno unakaribia🤣Mr. Kuku au DECI [emoji125][emoji125][emoji23]