Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Haaaaaaa! Wonders shall never end..... Hata wewe Brenda unaidhalilisha jinsia yako kuita degree za kike??????!!! Ama kweli hii ndio bongo land
sasa sociology na ds za kazi gani...angepiga nyanga za ukweli kama law,economics,finance au statistics ningemkubali..lakn hizo zake hata female cku hizi hawazitaki tena.
Kama umesoma vyuo hivi Udsm, Udom utaelewa nini kusoma kozi ya sociology...sociology ni kozi ya kidada 90% wanaosoma ni wadada...complete wastage of time ni kusomea masters of development studies....no wonder this dude is stressed out...anaongea ongea tu sitaki kazi..ni sawa sawa na kusomea Early Child Hood Development...unataka uwe mwalimu wa chekechea? piga ua katika maisha ukiwa na msingi weak kielimu u end up having a weak life in the future kama hauchakariki
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
Hivi amejitangaza au watu mnamtangaza????
Mi sijasikia akitangaza jamani niambieni sie kwetu radio ya mkulima kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka uitundike juu ya mti ndio itanasa matangazo tena ya BBC tuu
cc: Namasangya ona hii...kozi hio ni ya wanawake wasiojielewa wanataka nini...ona sasa hadi kaka ako nikki nae kasoma hio...ndo maana bado anatafuta PhD..
Ha ha imenibidi tu nicheke sasa hayo ya kutinga sijui nini yanahusikaje ulishaenda kwanza school of law ds ina application sehemu mbalimbali tofauti na wewe sehemu moja usiponde usicho kijua
Hahahahah...sijui kwanini watu hawapendi ukweli kwani ni uongo hizo degree si ndo wanawake wanakimbilia hawataki complications bado tupo wachache huku upande wa pili mpaka tunaonekana wanawake wa huku ni wanaume...so yes I will say it again course za wanawake hizo sociology na hayo mengine..wakaribie science kama ni rahis hivo
Hahahaaaaaaaaa! Kufundisha chekechea siku hizi ni deal. Mnalipia ada watoto wenu mpaka milioni hapo hajaanza primary.... Msiojielewa mtaendelea kumdis mwenzenu anachanja mbuga
Wacha tupige hela tu hiyo shule ipo tuu haiendi popote...suti ndo kuonesha jezi tunazopiga..tukiwa mzigoni...sasa nisiijue DS kwani sijaisoma? kibongo bongo Development Studies hamna kitu yani mara mia ingekua mbele kweli tungekubali[/QUOT
Sio kila anayevaa koti jeupe ni daktari...........
Haaaaaaaaa....sijaongelea chekechea wala sina dharau na kazi ya mtu..ila sociology ni kozi ya wadada period!!!nimemaliza
Smh.. unadharau wanaosomea ECDE kisa wanafundusha chekechea... no wonder kesho utaponda elimu ya bongo mbovu kwa kuzoea watoto wenu wafundishwe na form four failures maana ndio mnaona wana hadhi ya kufundisha watoto...
Mnafikra mgando badilikeni
cc: Namasangya ona hii...kozi hio ni ya wanawake wasiojielewa wanataka nini...ona sasa hadi kaka ako nikki nae kasoma hio...ndo maana bado anatafuta PhD..
Haaaaaaa! Wonders shall never end..... Hata wewe Brenda unaidhalilisha jinsia yako kuita degree za kike??????!!! Ama kweli hii ndio bongo land
Unajua kusoma bongo ni sheeeeedddaah. Kimtu kikisomea kitu fulani kinawadis wenzake waiosomea kotu kingine. Kuliwekwa kozi mbali mbali kwa mantiki kabsaaaa. Hebu fikiria leo hii Tz kungekuwa na masomo ya uhasibu tuuuu vyuo vyote hali ingekuwaje? Tafakari kabla hujasema. Huo mtazamo wa kishuleshule wa kuzidis kozi za wengine au combi za wengine umepitwa na wakati
Unayameza maneno ya kinywa chako mwenyewe.