Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

sasa sociology na ds za kazi gani...angepiga nyanga za ukweli kama law,economics,finance au statistics ningemkubali..lakn hizo zake hata female cku hizi hawazitaki tena.
 
Haaaaaaa! Wonders shall never end..... Hata wewe Brenda unaidhalilisha jinsia yako kuita degree za kike??????!!! Ama kweli hii ndio bongo land

Hahahahah...sijui kwanini watu hawapendi ukweli kwani ni uongo hizo degree si ndo wanawake wanakimbilia hawataki complications bado tupo wachache huku upande wa pili mpaka tunaonekana wanawake wa huku ni wanaume...so yes I will say it again course za wanawake hizo sociology na hayo mengine..wakaribie science kama ni rahis hivo
 
Kama umesoma vyuo hivi Udsm, Udom utaelewa nini kusoma kozi ya sociology...sociology ni kozi ya kidada 90% wanaosoma ni wadada...complete wastage of time ni kusomea masters of development studies....no wonder this dude is stressed out...anaongea ongea tu sitaki kazi..ni sawa sawa na kusomea Early Child Hood Development...unataka uwe mwalimu wa chekechea? piga ua katika maisha ukiwa na msingi weak kielimu u end up having a weak life in the future kama hauchakariki

cc: Namasangya ona hii...kozi hio ni ya wanawake wasiojielewa wanataka nini...ona sasa hadi kaka ako nikki nae kasoma hio...ndo maana bado anatafuta PhD..
 
Last edited by a moderator:
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
9b60f8844ec111e381ef125a95a1c163_8.jpg

Njooo uwe shemeji yangu...
 
Hivi amejitangaza au watu mnamtangaza????
Mi sijasikia akitangaza jamani niambieni sie kwetu radio ya mkulima kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka uitundike juu ya mti ndio itanasa matangazo tena ya BBC tuu

kakA hao ndo wabongo ukisoma shida usiposoma shida
ila niki hongera baba pga shulee
 
cc: Namasangya ona hii...kozi hio ni ya wanawake wasiojielewa wanataka nini...ona sasa hadi kaka ako nikki nae kasoma hio...ndo maana bado anatafuta PhD..

Hahahaaaaaaaaa! Kufundisha chekechea siku hizi ni deal. Mnalipia ada watoto wenu mpaka milioni hapo hajaanza primary.... Msiojielewa mtaendelea kumdis mwenzenu anachanja mbuga
 
Last edited by a moderator:
Ha ha imenibidi tu nicheke sasa hayo ya kutinga sijui nini yanahusikaje ulishaenda kwanza school of law ds ina application sehemu mbalimbali tofauti na wewe sehemu moja usiponde usicho kijua

Wacha tupige hela tu hiyo shule ipo tuu haiendi popote...suti ndo kuonesha jezi tunazopiga..tukiwa mzigoni...sasa nisiijue DS kwani sijaisoma? kibongo bongo Development Studies hamna kitu yani mara mia ingekua mbele kweli tungekubali
 
Hahahahah...sijui kwanini watu hawapendi ukweli kwani ni uongo hizo degree si ndo wanawake wanakimbilia hawataki complications bado tupo wachache huku upande wa pili mpaka tunaonekana wanawake wa huku ni wanaume...so yes I will say it again course za wanawake hizo sociology na hayo mengine..wakaribie science kama ni rahis hivo

Unajua kusoma bongo ni sheeeeedddaah. Kimtu kikisomea kitu fulani kinawadis wenzake waiosomea kotu kingine. Kuliwekwa kozi mbali mbali kwa mantiki kabsaaaa. Hebu fikiria leo hii Tz kungekuwa na masomo ya uhasibu tuuuu vyuo vyote hali ingekuwaje? Tafakari kabla hujasema. Huo mtazamo wa kishuleshule wa kuzidis kozi za wengine au combi za wengine umepitwa na wakati
 
Hahahaaaaaaaaa! Kufundisha chekechea siku hizi ni deal. Mnalipia ada watoto wenu mpaka milioni hapo hajaanza primary.... Msiojielewa mtaendelea kumdis mwenzenu anachanja mbuga

Haaaaaaaaa....sijaongelea chekechea wala sina dharau na kazi ya mtu..ila sociology ni kozi ya wadada period!!!nimemaliza
 
Wacha tupige hela tu hiyo shule ipo tuu haiendi popote...suti ndo kuonesha jezi tunazopiga..tukiwa mzigoni...sasa nisiijue DS kwani sijaisoma? kibongo bongo Development Studies hamna kitu yani mara mia ingekua mbele kweli tungekubali[/QUOT
Sio kila anayevaa koti jeupe ni daktari...........
 
Smh.. unadharau wanaosomea ECDE kisa wanafundusha chekechea... no wonder kesho utaponda elimu ya bongo mbovu kwa kuzoea watoto wenu wafundishwe na form four failures maana ndio mnaona wana hadhi ya kufundisha watoto...

Mnafikra mgando badilikeni

?????????
 
Wana jf jumapili njema. Leo nataka kwenda kuabudu pale Tanganyika packers anayepajua anielekeze jinsi ya kufika n
 
cc: Namasangya ona hii...kozi hio ni ya wanawake wasiojielewa wanataka nini...ona sasa hadi kaka ako nikki nae kasoma hio...ndo maana bado anatafuta PhD..

Acha dharau kwa hiyo wadada wote waliosoma Sociology hawajielewi wanataka nini??????

if the course is not applicable wangeshaitoa siku nyingi... imagine somebody ambae amesoma three years then she come across your comment.....
 
Last edited by a moderator:
Unajua kusoma bongo ni sheeeeedddaah. Kimtu kikisomea kitu fulani kinawadis wenzake waiosomea kotu kingine. Kuliwekwa kozi mbali mbali kwa mantiki kabsaaaa. Hebu fikiria leo hii Tz kungekuwa na masomo ya uhasibu tuuuu vyuo vyote hali ingekuwaje? Tafakari kabla hujasema. Huo mtazamo wa kishuleshule wa kuzidis kozi za wengine au combi za wengine umepitwa na wakati

Hahaha wewe na alielike hio quote yako mnanishangaza...sociology ni kozi ya kike hio ndo ilikua point yangu na wala sikufika huko kwa kudharau mengine...your point ilikuwa hata mimi mwanamke nakubali sociology no kozi ya kike...yes narudia tena ni ya kike na huo ndo mtazamo wangu period...acha utoto nadhani mimi na wewe tunajua wote hapa tunafikiri kabla ya kuandika..wacha kujifanya unachoandika wewe ndo umekaa ukafikiri sana....sina dharau na naheshimu kazi za watu but sociology ni kozi ya kike hilo halipingiki...kama umesoma sociology poa tu kwani napungukiwa nini?
 
Unayameza maneno ya kinywa chako mwenyewe.

Tatizo lako unataka nijibu utakavyo wew...Bibi wee tusichoshane..wewe ukiwa mwalimu mie nikawa rubani kuna tofauti..usinipigie kelele...sociology kazi ya kike hutaki basi msomeshe mwanao uone atakavyosota kutafuta kazi...kuna kozi ukimaliza huna hata stress za kazi...na huyo nikki anaongeza hadi PhD kwasababu foundation yake ni mbovu kwani uongo
 
Back
Top Bottom