Poel sana, ila ndio hali halisi, kwa sasa mtaani tunawaohopa waislamu na wazanzibari, sijui tumefikaje hapa,tunajikuta tu tunawachukia na hatutaki ukaribu nao kabisa maana tunapata tafsiri nyingi sana kutokana na yanayoendeleaHaki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Ni mgalatia haswa.Kwenye andiko lake ameandika na nakuu"Tutawakomboa waislamu"Hakuna mwiskamu anayesema tutawakomboa waislamu huku yeye mwenyewe akiwa muislamu.wewe ni Mgalatia
Kuwachukia ama kuwapenda hakutakusaidia chochote.Huna la kuwafanya utabaki na chuki yako ya udini uliyokuwa nayo kabla ila sasa umediriki kuionyesha kwa maneno.Tokea mwanzoni hukuwa unawapenda na hukuwapunguzia lolote.Poel sana, ila ndio hali halisi, kwa sasa mtaani tunawaohopa waislamu na wazanzibari, sijui tumefikaje hapa,tunajikuta tu tunawachukia na hatutaki ukaribu nao kabisa maana tunapata tafsiri nyingi sana kutokana na yanayoendelea
In nutshellBakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kwani Walitamka nini????π€¨
Mnampinga Rais sababu yeye ni Muislam...Kwani Walitamka nini????π€¨
Mkuu unawaza PhD mbali hivo... kila mtu hapo yuko radhi akuonyeshe nyeti zake kuliko vyeti vyake vya o level....Bakwata kukiwa na PHD hata moja tu nahamia burundi.
Wasilete siasa zao kwenye dini asee!Mnampinga Rais sababu yeye ni Muislam...
Soma tena huenda ukabadilisha ulichokiandika. Hajasema anauchukia uislamu bali anauchukia bakwata.bakwata sio wasemaji wa waislam WOTE.hauwezi kuuchukia uislam Kwa sababu ya bakwata.
Haki unaipataje pasi na amani ? Huenda hujui maana ya haki.Haki ndiyo hupanga sheria za utulivu kama hakuna haki sheria Amani itasimama kwa utaratibu upi? Haki ni muhimu sana ingawa wewe mtekaji muuaji na mpenda kesi kesi za uongo huwezi kujua hilo
Jenga hoja acha kulalama. Kwa uliyo andika inaonekana wazi, hujui maana ya neno haki wala maana ya amani.Hivi akili hua mnazivua mkiingia Masjid au kwamba hao mbumbumbu wasiojua maana ya Haki na Amani ndio wa kufananisha na mimi,hope hata wewe ni zumbukuku sana kama unadai hao masheikh waliosema Inaanza amani ndio inafuata Haki katika mtiririko wa muongozo wa Taifa basi pasi na shaka nyie vilaza hamjui hata Solomon Wisdom!
Kajambe masjid huko tahira weye!
πππ
Busu la Kenge
Hahaha aisee kama ndio akili zako zipo hivyo pasi na shaka wewe mbumbumbu sana kubali tu acha kuleta viroja vya kujenga hojaJenga hoja acha kulalama. Kwa uliyo andika inaonekana wazi, hujui maana ya neno haki wala maana ya amani.
Inaanza amani kwanza kisha haki, utadai vipi haki sehemu ambayo hakuna amani ? Unatumia nini kufikiria ?
Solomoni Wisdom unazijua wewe. Tunataka hoja na uhalisia.
Tafsiri neno haki hapa, uone ujinga wako ulipo. Shida yenu mnasikiliza maneno ya vilaza kama vile Maaskofu, mnayabeba pasi na kuhakiki.Hahaha aisee kama ndio akili zako zipo hivyo pasi na shaka wewe mbumbumbu sana kubali tu acha kuleta viroja vya kujenga hoja
Yaani inaanza Amani ndio inafuata Haki serious?
Hivi huu msemo wa Pasipo Haki hapana Amani huujui au?
Hivi mtu hajapata Haki yake atapataje amani kwa mfano?
Kijana tunataka hoja na uhalisia, usilete malalamiko na mihemko.Hizo akili hua mnavua mnapoingia Masjid?
Hivi unaijua Suleiman Wisdom au wewe ngumbaru nikupe elimu?
Unajua Mfalme Suleiman aliomba nini cha kwanza kwa Mungu na baada ya Hapo akazidishiwa nini wewe kiazi?
Sasa kama una nia thabiti ya kutetea na kunusuru uislamu na kauli za wahuni ulipaswa kutoa tamko kabla ya mtoa mada kwamba kauli yao haiwakilishi waislam wotebakwata sio wasemaji wa waislam WOTE.hauwezi kuuchukia uislam Kwa sababu ya bakwata.
Kwani kauli za TEC ZINA WAKILISHA WAKRISTO WOTE?Sasa kama una nia thabiti ya kutetea na kunusuru uislamu na kauli za wahuni ulipaswa kutoa tamko kabla ya mtoa mada kwamba kauli yao haiwakilishi waislam wote
Ni misimamo tu wa wala biriani la ngamia aka 'wasteland Noah' π€π€£π€£π€£ na Tende za Yathrib!
Narudia kwa niaba ya mtoa mada ni aibu kwa maaskofu kujilinganisha na madrasa wenye PhD za Vitipa na uganga wa kienyeji hawa watu wana ulimwengu wao ipukaneneni na hivi viumbe