Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

[emoji123][emoji123][emoji123].
 
Pole sana...

Wenzako wamefanya maarifa ya ununuzi wa vyeti na wamenufaika kuwa mabosi wa mkoa mkubwa.

Wengine wakafoji vyeti wametumbuliwa...

Dunia sio mbaya, binadamu ndio wabaya.
Kwa hiyo huyu mheshimiwa naye aibe cheti swahiba?

Mkuu usinunue cheti huyu bwana anakushauri vibaya. Wewe njoo huku namtumbo tulime biringanya bwana.
 
Everything has to be at his, just thank God for everything..maadamu ni mzima na una elimu ya kutosha lawama zinatoka wapi sasa? Inawezekana wakati wenzako wanamaliza wewe ndio utapata nafasi ya kuanza so sioni haja ya kuangalia maisha ya wengine kwa kigezo chochote kile kwa kuwa hakuna anayejua mpango wa Mungu juu yako mkuu!
 
Kutangulia si kufika , wao wametangulia waache waende huku wewe ukiweka bidii kwa kile ulichonacho kichwani pambana nna uhakika baada ya muda hao wote watakusalimia kwa heshima, cha muhimu ni juhudi binafsi

Mumeo anaendeleaje? Alishapona?
 
Kila jambo lina wakati wake ndugu. Ila usiache kuhangaika kusaka mshiko. Utafanikiwa.
1. Work
2. Work
3. Work
 
Yes ulimwengu una badilika zamani ilikuwa watoto, ikaja kusoma kwa sasa ni ulimwengu wa information kujua na anataka nn au jinsi ya kubadili hitaji la jamii kuwa pesa.
 
Yes ulimwengu una badilika zamani ilikuwa watoto, ikaja kusoma kwa sasa ni ulimwengu wa information kujua na anataka nn au jinsi ya kubadili hitaji la jamii kuwa pesa.
Ndio hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…