Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

Kipindi hiki uchawi unalipa Sana [emoji1787][emoji1787]
 
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.

Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Mkuu upi unaoenndelea ama unajifariji tu. Bwawa la umeme ba reli yana miaka karibu 3 ya kuchelewa, kws maaana yalitakiwa yaanze operation 3 years back, viwanja vya ndege vyote vimesimama, stands mikoa yote zimesimama kwingine wanafugia kware na mbuzi,
 
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.

Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Kumbka hii kauli ndo imekua siraha na mlinzi wa miradi aloianzisha, walitamani kuipiga chini lakin kauli ya mwendazake inailinda miradi hiyo iweze kuendelezwa japo kinyonge
 
Back
Top Bottom