Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Pole sana nenda kwa specialist upate msaada zaidi.

Kuna watu mnafanana mambo mengi mno, story, age na mengineyo. Au ni wewe?
nilikuwa na Ke mwenye shida kama yako naona mmefanana vingi. Sifa kubwa ya ke wa hivi ni utulivu

Asante

Herufi yake ya kwanza ni ipi??

Ni mtulivu ila ulimuachaa[emoji16] fear men
 
Jitahidi upate madokta kutoka wizara ya utamaduni na michezo ,achana na hawa wizara ya afya


Nimetazama kwenye kioo changu na mzimu wa babu ,unatamka wazi ,yule uliyeachana naye awali ndie kakutendea unyama huo hainatofauti na kunatana


Dawa yake inapatikani ,ukipendezwa Nicheki PM tatizo liishe
 
Asante

Herufi yake ya kwanza ni ipi??

Ni mtulivu ila ulimuachaa[emoji16] fear men
😂 njoo pm hapa hapafai kutaja herufi ila mmefanana vingi mno, age , mwaka wa kuachana na mengine nayaona.

The rest is history my dear but nilimpenda sana bila kujali hiyo hali yake maana kuskip game ilikuwa kawaida kumuepushia maumivu.

Huo utulivu mnao kwa sababu ya hiyo hali na sio vinginevyo.
 
Jitahidi upate madokta kutoka wizara ya utamaduni na michezo ,achana na hawa wizara ya afya


Nimetazama kwenye kioo changu na mzimu wa babu ,unatamka wazi ,yule uliyeachana naye awali ndie kakutendea unyama huo hainatofauti na kunatana


Dawa yake inapatikani ,ukipendezwa Nicheki PM tatizo liishe

[emoji23][emoji23][emoji23]kioo kimedanganya
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
pengine boresha namna unavo panua
 
Yashawai kunikuta Cha kwanza kabisa hakikisha unatibu magonjwa yote yanayohusiana na k yako aswa aswa fangasi na mtu wako nae atumie dawa hakikisha unapona vizuri ndiyo mkutane kimwili na mkikutana toa mawazo ya nitaumiaa weka mawazo kwamba unaenda utaenjoy,pili jitahidi kula nyanya chungu na bamia kwa wingi na mtindi,tatu msikae muda bila kufanya fanyeni Mara kwa Mara kwa kawaida binadamu tumeumbwa kuzoea utazoea na utaenjoy,nne ukihisi maumivu makali wekeni mate na ufinyie kwa ndani na asiwe anaitoa nje apige ndani kwa ndani .
 
Back
Top Bottom