Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi
Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa
Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa
Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]
Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee
Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…
Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee
Naomba kujua mwenye msaada na hili