Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Unatakiwa urelax, sasa ukibana si ndio penetration inakuwa ngumu. Kama kipapa kinalowa vizuri, relax wakati mwamba akiwa anaingiza taratibu, then mwambia ikishapenya asipump in-out, awe anasugulia ndani kwa utaratibu tu, u will feel the difference.

Nafikiri yangu inafungaa yaani ili i penetrate lazima force itumikee
 
Unatakiwa urelax, sasa ukibana si ndio penetration inakuwa ngumu. Kama kipapa kinalowa vizuri, relax wakati mwamba akiwa anaingiza taratibu, then mwambia ikishapenya asipump in-out, awe anasugulia ndani kwa utaratibu tu, u will feel the difference.
Arelax nini mtu aliyesema hata akiweka kidole anaumia? Hehee
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Yan dada umeshapima vipimo vyte imeonekana hauna problem yyte alafu Bado unatafakar ni nn cha kufanya?

Tumaini pekee liliobaki ni kufanyiwa maombi

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom