Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Je ujakeketwa,tumieni lubricant
 
Unaposema jamaa yako ana size ya kawaida unamaanisha nini?

Ulishajaribu kubwa na ndogo na ukafahamu hii ni size ya kawaida?

Size ya kawaida kwa mwingine, ni size kubwa mno kwa mwingine. Unless otherwise, ulishafanya na mtu aliyemzidi ukubwa huyo uliyenaye sasa.

Mkuu ukisema hivyo basi mimi saizi yangu itakuwa ni kidole maana hata kidole huwa nikiwekewaa kinaumaaa so nilimaanisha tu hana kubwa ya kusema kwamba itanichanaa
 
Pole sana .
Je utakuwa huru nimwage uhalisia wa hali yako hapa hautajisikia vibaya ?

Ikiwa hautapenda ila utahitaji nikusaidie karibu PM .

Nb .Sijalewa najielewa na nipo serious kukusaidia kwahiyo usije kwa hofu kuwa nitakutongoza hapana .

Karibu , lakini pole haupo pekee yako wengi wamekuwa na hali kama yako

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Mwaga hapa mkuu kwa faida ya wengii
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Hii itakua Vaginismus
 
Back
Top Bottom