Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Hio Hali nilishawahi kutana nayo kwa demu wangu mmoja.

Ikifika stage ikawa Sasa ni kero kubwa kwangu.

Stimu na mzuka unakata duduwasha ikawa inasizi nikawa kama nisie na nguvu za kiume.

Maana analala Ile mbaya.

Kuna siku nikaona huyu ananitania nikaforcs kupiga torque/hard penetration alipiga UKINGA huo na nikapigwa bonge la bao na kusukumwa huko.

Nikawa Mtu wa mawazo sana sikufarahia tena huu uhusiano.

Akaanza kujidai Hana shida eti shida ninayo Mimi wakati nameona kabisa ana shida.

Nikaona asinitanie nitafuta mcheps nikala mzigo kutest tu zana zangu kama ziko Ok.

Hii ishu ni Moja ya sababu zilizonifanya nimpige chini na zinginezo nyingi.

Japo sikumwambia ila ikifika stage kwangu ni stress na kero mfululizo

Japo alikuwa mwanamke anaejielewa ila ilibidi Kila mtu aende njia yake.

Sometimes nikawa nahisis pengine huyu alishawahi BAKWA huko udogoni ndio kupeleka hayo maumivu.

Ni tabu tupu.
 
Tuanzie kwenye Size Umejuaje kuwa ni kawaida je ilishawahi kuona size tofauti tofauti?
 
mkuu umepitia changamoto kama yangu.

Dada anasema nafanya tu kwakuwa nakuheshimu na kukupenda.
Ila yeye hana hisia hajisikii chochote zaidi ya maumivu.

Na nikweli nilikuwa namla kamoja tu anasema hataki ukiendelea atakusukuma.
Mwanzoni nilihisi anamtu wake lakini sio.
Nikahisi aliwahi kubakwa au anamapepo.

Sema ndo hivyo nilimvumilia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…