Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Una magonjwa ya zinaa....mchanganyiko i.e.fangae
 
Hizo zote sijapitiaa labda nionane tu na specialist kwa matibabu zaidi
Just be careful na madaktari wa bongo ,ideal doctor hata jump kwenye madawa ila atapitia historia yako then anaweza test hormones zako then treatment ila pia partner wako aweza kukupatia solution kwa kuanza sifuri mpaka ukakuta imekuwa ok ilimradi asiendeshwe na sexual drive anuie kukusaidia wewe mpaka UWE ok
 
Pole mgonjwa mpendwa,tatizo lako dogo nishakutana na cases nyingi dizain hiyo,.nadhani tatizo ni bygaznmdrome kwenye kuta za uke,.

Samahani unaweza nitumia picha nione ukubwa wa tatizo?!?Asante na ugua pole
 

Asante kwa ushauri nitajaribu hii
 

Duuh ungemsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…