Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Samahani!
 
Sasa madam… haiumi kwa ndani inauma nnje yaani anapoanzaa kuingizaa na pembeni mwa nyama

Chukulia mfano huu ukiwa umeweka hivi vidoe[emoji108]halafu kipite kitu hapo kati kama kina force hivi sasa pembeni yake laZima kutanuke kuwe kunauma
Either una vaginismus or vulvodynia.
But more likely ni Vaginismus, yafatilie haya magonjwa niliyokutajia, na ukirudi kwa daktari wako jaribu kumuuliza kuhusu haya magonjwa.

And dear unapata maumivu ya namna gani, a burning sensation or stinging??
 
Wewe bikra yako haijatoka vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…