Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Tafuta size yako, sio wewe tu kuna wanaume wakiwaingia wanawake hawasikii chochote yaan wanaelea namaanisha Mwanamke hasikii km kunakitu kimemuingia kwenye tupuyake, kwa hio wanakua wamevamia size zisizo za kwao sasa wewe mguu wako namba yako ni 38 unaenda kuvaa kiatu namba 45 lazima itapwaya tu,

Wewe namba 39/40 umeingiziwa kitu kinasoma namba 45 lazima itakubana lazima kitu ibane nasemaje lazima ikubane na lazima usikie maumivu haujawahi kuvaa kiatu kidogo kinakubana mpaka kucha hadi kutembea unashindwa, sasa ndio inavyokua unategemea nini km sio maumivu?

Yaan hapo aidha upate ndogo 38 kushukachini au upate size yako bila hivyo subiri kua na Jaba

Nitajuaje Kama huyu size ndogo kwa kumwangalia sio mpk tuvuane…. Au ndy najaribu kila mchiii [emoji19]
 
Sawa nikitaka ushaurii wa kuacha uasherati nitaku tagg mpendwaa…

Wewe umefanya wee mpk kinakaribia kuisha saivi unatuambia wenginee tuache…. Subiri na sisi tuenjoy Kama wewe[emoji6]
me nawaingizia, ukitaka upone kabisa just pm me ur number, nitakufundisha na mengine mengi hutojuta kukutana na mm, nilikuwa nakupa ushauri mzuri naona hutaki, fanya kama nilivokueleza hapo juu ili nikuingize kwenye dunia ya uchafu maana inaelekea unaipenda sana,
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Mara nyingi watu wenye fungus ndo wenye case hii
 
mamamzungu Tumia a water-based lube au silicone one although wenginge silicone inawapa muwasho.

Wabongo mjue lube kama KY, Pure etc etc sio kwaajili ya ufirauni tu ni kwaajili ya matumiza ya kawaida ya kila siku.
we mdanganye mwenzako, halafu babati mbaya kitu ikatelezea kule si ndo atakuwa teja kabisa wa kule na kusahau maumivu ya kwenye k?
 
Tumia gynazole ni kidonge cha kuingiza huko kinatoa uchafu fungus na kukupa unyevunyevu, Ila kama ni asili yako jitahidi uwe na kilainishi Kama mafuta ya nazi au olive au mafuta ya mchaichai utaenjoy anakupaka huko kwa dada k na anajipaka na yeye before muanze mechi
 
mkuu umepitia changamoto kama yangu.

Dada anasema nafanya tu kwakuwa nakuheshimu na kukupenda.
Ila yeye hana hisia hajisikii chochote zaidi ya maumivu.

Na nikweli nilikuwa namla kamoja tu anasema hataki ukiendelea atakusukuma.
Mwanzoni nilihisi anamtu wake lakini sio.
Nikahisi aliwahi kubakwa au anamapepo.

Sema ndo hivyo nilimvumilia sana
Pisi za aina hii zipo vyema sana ila changamoto n hapo kwenye kuumia. Cycle yao ya mapenz ni ndogo mno huwa hawana wanaume wengi kwa sababu ya tatizo lao alafu n watulivu. Kuna muda wanaona mahusiano sio muhimu kwao, inahitaji uvumilivu kuwa na mwanamke wa hivi.
 
Back
Top Bottom