MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.
Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.
Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.