Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.

Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.

Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Nakumbuka sana hiyo siku early November 2010 nilikuwa bado kachalii tu nimerudi homu likizo. Mzee makamba alikomaa sana batilda apewe ubunge watu tukakomaa nje ya manispaa. Ila Lema akaondoka kwa kujificha baada ya kutangazwa mshindi kwa mwendo kasi na gari kusipojulikana tulimaindi kwasababu tulimsubiria nje tushangilie pamoja.

hydroxo adriz de mbusii
 
Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.

Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.

Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Kuna ulazima wa kutaja wachaga Mkuu!
 
Uongo nao ni ajira
Siyo uongo mkuu. Nilikuwepo na machalii nje ya manispaa. Yani matokeo yalikuwa yanacheleweshwa. Watu walikuwa wanadai mzee Yusuph Makamba wakati huo sijui katibu mkuu sijui mwenyekiti alikuwa analazimisha ushindi kwa batilda. Watu nje tukamuonya Lema akikubali tu hiyo hela. Ilikuwa patashika maamaee

Chaliifrancisco
 
Umekosea kidogo mkuu,uchaguz ule ulikua kati ya Lema na Batilda Burian,Wananchi walikusanyika pale kwa mkuu mkoa kuanzia saa 11 jion mpaka saa moja kasoro,huku wengine wakiwa na vidumu vya petrol waki-chant Lema akitusaliti tunamchomea humo,wakati huo Lema Batilda, Lowasa,Mbowe wako ndan,wanachadema wakaona kabisa lema anatusaliti mana lowasa alikua mule ofisin na ikikumbukwa Lema aliuza Ubunge kwa Mlema wa ccm kipindi iyo,ikabid apigiwe Hayat Ndesa Pesa akatoka mosh na hellcopter akaingia ofisi za mkuu wa mkoa dakika 30,hayat Ndesamburo akatoka huku akionyesha alama ya vidole viwili umati wa wana chadema ukaamka kwa shange lisilo na kifani..Lema ni Double Agent kama Mzee Mbowe
Wewe umeelezea vizuri sana.
 
Nilikuwepo mkuu kwenye huo umati. Ila da masiku na mamiaka inakimbia.
 
Sijawah kuamini demokrasia inaweza kufanya kazi kwa upande wowote kwenye hii Dunia.
Ndio maana kuna elimu ya siasa na propaganda,jinsi ya kuandaa hotuba, jinsi kuwateka watu hisia zao ili wakuamini hata kama unasema uwongo.
Kiufupi demokrasia ni uwongo ambao lazima uukubali.
 
Hahahahahaaaaa umenifanya nicheke kwa sauti. Yani hapa baradhuli mbavu zinauma laana. Yani wee jamaa 😆😆😆😆
Hiyo 2010 niko kwenye early 20's nina uwezo wa kutembea kwa mguu toka Sanawari hadi Kerai kwa kupita kona Mbauda na JR.
 
Back
Top Bottom