MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hakuwa CHADEMA2010 huyo EL alikuwa chadema?
Unajiaibisha sana mkuuKwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.
Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.
Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Aibu utaona weweUnajiaibisha sana mkuu
Umeandika nini hiki huoni aibu?
Njaa mbaya sana aiseeAibu utaona wewe
Mtanzania yeyote mwenye uchu wa maendeleo anatakiwa kuwa na rafiki mmoja mchaga.Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.
Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.
Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Umekosea kidogo mkuu,uchaguz ule ulikua kati ya Lema na Batilda Burian,Wananchi walikusanyika pale kwa mkuu mkoa kuanzia saa 11 jion mpaka saa moja kasoro,huku wengine wakiwa na vidumu vya petrol waki-chant Lema akitusaliti tunamchomea humo,wakati huo Lema Batilda, Lowasa,Mbowe wako ndan,wanachadema wakaona kabisa lema anatusaliti mana lowasa alikua mule ofisin na ikikumbukwa Lema aliuza Ubunge kwa Mlema wa ccm kipindi iyo,ikabid apigiwe Hayat Ndesa Pesa akatoka mosh na hellcopter akaingia ofisi za mkuu wa mkoa dakika 30,hayat Ndesamburo akatoka huku akionyesha alama ya vidole viwili umati wa wana chadema ukaamka kwa shange lisilo na kifani..Lema ni Double Agent kama Mzee MboweKwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.
Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.
Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha
Kumbe (teeth) Idara ya Meno washampa kandarasi nabii kokoKwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.
Raia walikuwa wanadai hawataki waone kilichotokea mwaka 2005. Kulikuwa na kashfa kwamba Lema alishinda ubunge kupitia TLP ila akaachia nafasi yake kwa Mrema wa CCM baada ya kupokea vipande vya fedha. Ni kashfa iliyokuwa kubwa enzi hizo ambayo bado inamtafuna hadi leo.
Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Chadema wakiukubali ushauri huu, watakuwa wanafanya dhambi kubwa sana ya ubaguzi, ukiishafanya dhambi ya ubaguzi, haiwezi kukuacha salama, ni kama kula nyama ya mtu!.Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
Kwa hiyo tatizo ni Wachaga ?..Ushauri wangu kwa CHADEMA ni kumfukuza Lema pamoja na wachaga wengine wote ili CHADEMA ibaki salama. Bila kufanya hivyo hawa wachaga waliopo ndani ya CHADEMA watakisambaratisha chama.
siku hiyo ndani EL aikuwa anamsaport Dr Batilda Buriani na mpambe wake Gideon wa Club Africo ndo alionekana akiwa na bahasha ya dola na jana yake alishapokea hela kama M 100 hivi , ndo story zilivyosambaa ikabidi dr slaaa amuombe Ndesamburo asaidie kusimamia kwa niaba ya chama alaja na helicopter chap meza ikapinduliwa, na kuanzia hapo hata bungeni lowassa na Ndesamburo walikuwa hawasalimiani , siku moja Arusha mzee Edo alisikika akilalamika ndesapesa anatakiwa addhibitiwe kwa sababu ndo anadhamini wagombea wengi wa chademaKwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje kulikuwa na umati wa watu huku ndani ya jengo huku ndani ya jengo la manispaa wakiwemo Lema, hayati EL na viongozi wengine wakubwa wa CHADEMA.