Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

Nakumbuka sana hiyo siku early November 2010 nilikuwa bado kachalii tu nimerudi homu likizo. Mzee makamba alikomaa sana batilda apewe ubunge watu tukakomaa nje ya manispaa. Ila Lema akaondoka kwa kujificha baada ya kutangazwa mshindi kwa mwendo kasi na gari kusipojulikana tulimaindi kwasababu tulimsubiria nje tushangilie pamoja.

hydroxo adriz de mbusii
 
Kuna ulazima wa kutaja wachaga Mkuu!
 
Uongo nao ni ajira
Siyo uongo mkuu. Nilikuwepo na machalii nje ya manispaa. Yani matokeo yalikuwa yanacheleweshwa. Watu walikuwa wanadai mzee Yusuph Makamba wakati huo sijui katibu mkuu sijui mwenyekiti alikuwa analazimisha ushindi kwa batilda. Watu nje tukamuonya Lema akikubali tu hiyo hela. Ilikuwa patashika maamaee

Chaliifrancisco
 
Wewe umeelezea vizuri sana.
 
Nilikuwepo mkuu kwenye huo umati. Ila da masiku na mamiaka inakimbia.
 
Sijawah kuamini demokrasia inaweza kufanya kazi kwa upande wowote kwenye hii Dunia.
Ndio maana kuna elimu ya siasa na propaganda,jinsi ya kuandaa hotuba, jinsi kuwateka watu hisia zao ili wakuamini hata kama unasema uwongo.
Kiufupi demokrasia ni uwongo ambao lazima uukubali.
 
Hahahahahaaaaa umenifanya nicheke kwa sauti. Yani hapa baradhuli mbavu zinauma laana. Yani wee jamaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Hiyo 2010 niko kwenye early 20's nina uwezo wa kutembea kwa mguu toka Sanawari hadi Kerai kwa kupita kona Mbauda na JR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…