Nikimkumbuka Ronaldinho Gaucho machozi yananitoka

Mara ya kwanza kumuona uwanjani nikiwa mbele ya TV kitu cha kwanza kumkubali ni hali yake ya tabasamu muda wote akiwa uwanjani.

Skills yake ya mpira ni next level.

Kuna free kick moja aliipitisha chini ya miguu ya ngome ya wachezaji baada ya wao kuruka wakizani atapiga juu, hiyo free kick ilitingisha nyavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Na alicheza mpira kipindi ambacho mpira una magwiji wengi aisee, hiyo era ya 1998 mpaka 2008 kulikuwa moto. Miaka miwili mbele grafu ikaanza kushuka na sasa inedumbukia kabisaaa.

Eti Mbappe, Neymar n.k kweli? Griezman, Grealish

Si ajabu wakina Ibra na Benzema bado wako kwenye form mpaka leo kwasababu walicheza enzi za mpira kweli, enzi zenye utaalamu(wenyewe wanasema specialisation) wa eneo fulani kwa mtu fulani.

Ukisema Beckham, mtu anajua ni nini unataka kusema.
Ukisema Pipo, tayari eneo lake linakaa akilini
Batistuta
Ortega
Zizou
Bergkamp
Kluivert
Jay jay
Vieri
Zambrota
Thuram
Claudio T
De Lima
Senna
Scholes
TH14
Viera
CR7
Iniesta
Kaka

Daaa, wengi mno, enlisting wote inahitaji special page.

Yes, Gaucho ni mwamba.
 
Uko sahihi mkuu.

Ukiangalia hata balon D'or walikuwa wanapokezana kwa sababu wengi walikuwa bora. Kaka kapata 1, Zizou 1, Figo 1, hata Gaucho mwenyewe alipata 1. Hapo ni miaka ya 1998 onwards..
 
Dinho aliwahi kusema..

1 "Wakati kila mtu akikimbilia kufunga mimi nilipenda kucheza"

2. "We get our confidence through our preparation"



Mwamba ukija kwa papara unakula tobo, kanzu, vyenga na anaweka mpira kwenye kifua unanasa sekunde kadhaa anakimbia nao😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…