Na alicheza mpira kipindi ambacho mpira una magwiji wengi aisee, hiyo era ya 1998 mpaka 2008 kulikuwa moto. Miaka miwili mbele grafu ikaanza kushuka na sasa inedumbukia kabisaaa.
Eti Mbappe, Neymar n.k kweli? Griezman, Grealish
Si ajabu wakina Ibra na Benzema bado wako kwenye form mpaka leo kwasababu walicheza enzi za mpira kweli, enzi zenye utaalamu(wenyewe wanasema specialisation) wa eneo fulani kwa mtu fulani.
Ukisema Beckham, mtu anajua ni nini unataka kusema.
Ukisema Pipo, tayari eneo lake linakaa akilini
Batistuta
Ortega
Zizou
Bergkamp
Kluivert
Jay jay
Vieri
Zambrota
Thuram
Claudio T
De Lima
Senna
Scholes
TH14
Viera
CR7
Iniesta
Kaka
Daaa, wengi mno, enlisting wote inahitaji special page.
Yes, Gaucho ni mwamba.