Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mi nipate million 200 kwa week nisile raha kweli? 🤣 🤣 🤣Sema gaucho angejiweka mbali na starehe tungefurahia kukiona kipaji chake kwa muda mrefu zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nipate million 200 kwa week nisile raha kweli? 🤣 🤣 🤣Sema gaucho angejiweka mbali na starehe tungefurahia kukiona kipaji chake kwa muda mrefu zaidi
Umenikumbusha jamaa mmoja anaitwa OMARY KALIKI a.k.a GAUCHODhino alikuwa Fundi , fundi kweli kweli, mtaalam wa mpira ,mpira ulikuwa unamtii yaani akiuita unaitika pia alikuwa na uwezo wa kuutuma popote pale na ukamtii. Jamaa alipewa kipaji na mwenyezi Mungu.
Watoto watakuja na habari za Messi na Ronaldo Wana magoli mengi kumzidi, hapajawahi tokea mchezaji Kama gaucho dunia hiiUmenikumbusha jamaa mmoja anaitwa OMARY KALIKI a.k.a GAUCHO
Huyu Mtanzania alifanana Kila kitu na GAUCHO
SEMA tu timu zetu za nyumbani hazina scouting nzuri....
Ila Kuna vipaji vingi sana huko mikoani....
Japo hakujulikana sana kitaifa labda aliamua kuutelekeza mpira....
Turudi kwenye mada...🤓🤓
GAUCHO uwanjan yaan mabeki walipatanae sana shida maana alikua hakabiki....
Anaweza akauficha mpira mguuni na kutimua nao mbio alivyo taka yeye....
Kitendo Cha kua na GAUCHO uwanjan yaan mnapata ushindi wakat wowote....
Alikua na uwezo wa kupiga shuti Toka KATIKATI ya uwanja na likaingia goli....
Gaucho alikua mtu na nusu alikua na trick nyingi sana za kuwahadaa wapinzaniWatoto watakuja na habari za Messi na Ronaldo Wana magoli mengi kumzidi, hapajawahi tokea mchezaji Kama gaucho dunia hii
Ramos na Pepe walikuwa wanakutana na kibarua kipevu.Aliitesa sana Madrid yangu huyu[emoji51],alimtesa sana Ramos wangu huyu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]...lkn my all time best player ni Zidane Zizu[emoji6]
Watoto watakuja na habari za Messi na Ronaldo Wana magoli mengi kumzidi, hapajawahi tokea mchezaji Kama gaucho dunia hii
Best era ya football ni ya Messi na Ronaldo!!?..we jamaa bana!!..era ya nicklas bendtner,mpira wa basics unasema best era!!...mpira kweli ulikuwepo 98-08,ndiyo acceleration yake ipo mpaka Leo watu kupenda mpira na mpira kuwa bidhaa ghali,hivi lukaku naye ni mchezaji!?..weghorst!?..Messi na christiano wanajua mpira,Ila hakuna footballer kumzidi gaucho,strikers Kama Ronaldo de Lima, complete striker...thiery Henry,unaambiwa huyu ni striker,unasema ndiyo huyu striker,Messi na chenga yake ya cone aliyofundishwa la marsia ndiyo hiyohiyo tangu 2006-2023 Hana chenga nyingineMnawatisha tu lakini still wana haki ya kusema ivyo.. kipindi chao wachezaji wakali walikuepo wengi tu tena sana lakini wao walikua so far better . Hii list hawa wote walikua mafundi sema wamecheza era ya messi na ronaldo
Torres, drogba, sneijder, hazard, robben ribery, benzema, tevez, Rooney, xavi , ineista, pirlo, kaka, david villa , xabi alonso , zlatan , etoo, suarez, kroos , modric, KDB, vidic, ramos , rio, mbappe na wengine kibao
Huwezi kusema hawa ni wachezaji average kwamba ndo maana cr7 na messi wameng’aa sana leta list yako tuone wamewazidi nini hawa wachezaji … Tuache kujificha kwenye uzamani [emoji23] … Tukubali tu the best era ya football ni ya hawa watu wawili .
Kamq unabisha leta hio era unayoona ni best tufananishe
👍
Best era ya football ni ya Messi na Ronaldo!!?..we jamaa bana!!..era ya nicklas bendtner,mpira wa basics unasema best era!!...mpira kweli ulikuwepo 98-08,ndiyo acceleration yake ipo mpaka Leo watu kupenda mpira na mpira kuwa bidhaa ghali,hivi lukaku naye ni mchezaji!?..weghorst!?..Messi na christiano wanajua mpira,Ila hakuna footballer kumzidi gaucho,strikers Kama Ronaldo de Lima, complete striker...thiery Henry,unaambiwa huyu ni striker,unasema ndiyo huyu striker,Messi na chenga yake ya cone aliyofundishwa la marsia ndiyo hiyohiyo tangu 2006-2023 Hana chenga nyingine
Balon d or za Messi na Ronaldo ni za mchongo,ni ushindani wa adidas na Nike,2010 Messi kapewaje balon d or!?..balon d or ilishajifia,kaangalie mechi ya ac Milan na barce UEFA,hii ya 2010s hapa uone yule black wa Milan alivyokuwa anavikaba hivyo vitoto vya la Marcia na kuvipa tabu,Messi anacheza na Johan djorou,senderos unamsifu!?Mfuatilie messi vizuriii, hata hao wakina gaucho, henry bado wanakubali messi ndo G.O.A.T. Gaucho alikuwa entertainer mzuriii sana amedumu na kiwango chake kwa muda gani ? Huwezi kusema Torres , Drogba , suarez sio striker nembu acha zako bana . Hio 2008 yenyewe Cr7 ndo kachukua ballon dor dogo janja tu akafuata messi naye dogo janja tu hawa hata wangezaliwa huko 98 sijuii 2000 still wangekuwa the best …
Unataja kina weghorst , sijuii bedtner mimi nakutajia wachezaji ambao isingekuwa messi na ronaldo wangechukua ballon dr sema ndo ivo wamezaliwa kipindi kibaya cha cr7 na messi
Torres, rooney, hazard, Drogba, sneijdner, robben,david villa, iniesta, xavi .
Wewe nitajie tu hata list ya watu wa 5 ambao hawakuchukua ballon dor kisa ronaldinho au henry walikua ndo best ??
Kipindi cha cr7 na messi , best footballers ndo walikua wengi lakini ndo ivo messi na Cr7 walikua so far better leta takwimu za maana kwa kila mwaka kuanzia hio 98
Gaucho na penalty tena?Gaucho alikua mtu na nusu alikua na trick nyingi sana za kuwahadaa wapinzani
Aliwai kukimbia akaacha mpira nyuma mabeki wakaunga tela...
Kupiga kanzu NDIO usiseme aliwai kuubana mpira Kwa nyuma na kuurusha mbele fasta...
Kwenye penalty NDIO usiseme alikua na mbinu za hatari...
Alikua ana uwezo wa kupiga mpira Kwa miguu yote...kulia na kushoto..,
Yule ni born footballer 🦶 ⚽
Balon d or za Messi na Ronaldo ni za mchongo,ni ushindani wa adidas na Nike,2010 Messi kapewaje balon d or!?..balon d or ilishajifia,kaangalie mechi ya ac Milan na barce UEFA,hii ya 2010s hapa uone yule black wa Milan alivyokuwa anavikaba hivyo vitoto vya la Marcia na kuvipa tabu,Messi anacheza na Johan djorou,senderos unamsifu!?
I'm not sure 'bout this statement dude.hata wangezaliwa huko 98 sijuii 2000 still wangekuwa the best …
Ingia YouTube mkuuGaucho na penalty tena?
KWA upande wa penalty Dinho hakuwa na ufanisi wa kutosha.Ingia YouTube mkuu
Search
Mbona easy tu...
Must you show your foolishness everywhere?
Ballon di or ya Messi 2010 aliipata kwa vigezo gani!?..kwa Nini asiwe xavi aliyeshinda kombe la dunia!?Messi kashapiga sana matobo kina cannavaro, ramos, pepe vidic, fredinand, terry, carlos na mabeki wengine kibao wamepata shida kwa messi akiwa tu na miaka 19 hata sijuii unaongea nini .nembu nitajie beki ambae amewazidi hao kiwango niliowataja hapo ambapo messi kawapa tabu ya kutosha akiwa still 19.
Hata giroud kabeba kila kombeMessi amechukua kila kitu
Ballon di or ya Messi 2010 aliipata kwa vigezo gani!?..kwa Nini asiwe xavi aliyeshinda kombe la dunia!?