Nikimkumbuka Ronaldinho Gaucho machozi yananitoka

Ronaldinho over Romario:

2022: Filipe Scolari alimuacha Romario mchezaji aliyekuwa anapendwa,mkongwe na moja ya bora kwa kikosi cha Brazil kwa wakati huo akamchukua Ronaldinho, kukawa na mzozo nchini mpaka rais wa chama cha soka Brazil akamwambia asipobeba kombe asirudi nchini.
Mwamba akabeba kombe halafu akakabidhi kapteni CAFU aende nalo na akaacha kazi akaja kuwa kocha wa Ureno

Ronaldinho alifanya upate mengi kwenye mpira Burudani, Ushindi, Morali, Tricks,
 
2022..?
au sijaelewa..?
 
lahXavi hapana !! Bora hata ungeniambia sneijdner , xavi alichukua word cup sawa lakini haina maana alikua bora kuliko messi. 2010 hata ndani ta spain hakuwa bora kama david villa.
Sneijdner 2010 alitakiwa apewe maana alikua bora sana ila kama navyokuambia pamoja na ubora wa sneijdner lakini bado messi ni bora na hatarii zaidiii ila kwa 2010 ulikuwa mwaka mzuri na bora kwa sneijdner zaidi
Hujaelewa point yangu
 
Kaka never won a liberators. - Ronaldo (R9) never won a Champions League.
Ibrahimovic never won a golden ball.
Cristiano Ronaldo and Messi have never won a World Cup. - Ronaldinho won it all. He’s up there with some of the best to ever do it.

Image
Sasa machozi ya nini mkuu

Au ndio afya ya akili?
 
Ronaldinho over Romario:

2022: Filipe Scolari alimuacha Romario mchezaji aliyekuwa anapendwa,mkongwe na moja ya bora kwa kikosi cha Brazil kwa wakati huo akamchukua Ronaldinho, kukawa na mzozo nchini mpaka rais wa chama cha soka Brazil akamwambia asipobeba kombe asirudi nchini.
Mwamba akabeba kombe halafu akakabidhi kapteni CAFU aende nalo na akaacha kazi akaja kuwa kocha wa Ureno

Ronaldinho alifanya upate mengi kwenye mpira Burudani, Ushindi, Morali, Tricks,
Mbna Kocha alikua Jeuri sanaaa, vipi hakuombwa msamaha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kocha alitisha sanaa.
 
Ilikuwa mwaka 2002 world cup ilifanyika South korea na japan.
 
2002 ndo ile final ya [emoji1054] vs [emoji629]??
[emoji1054] alishinda 2 kwa 0.

Ilikua hatareeeeeee.
 
Sawa
Ila naona umekubaliana nami kwa kukubali kuwa hata vichaa huzidiana werevu na ndo hivyo hivyo kwa hao niliowataja
 
lahXavi hapana !! Bora hata ungeniambia sneijdner , xavi alichukua word cup sawa lakini haina maana alikua bora kuliko messi. 2010 hata ndani ta spain hakuwa bora kama david villa.

Hujaelewa point yangu

Point yako ni Messi kubebwa kwenye hio ballon dor .
Nikakuambia sneijdner alikua ana msimu bora kabisa 2010 lakini bado uhatarii wa messi na sneijdner messi ni hatariii zaidi maana hata huo mwaka alikua ana 60 goals.
Ila sneijdner alikua na mwaka bora zaidi.
 
Mara ya kwanza kumuona uwanjani nikiwa mbele ya TV kitu cha kwanza kumkubali ni hali yake ya tabasamu muda wote akiwa uwanjani.

Skills yake ya mpira ni next level.

Kuna free kick moja aliipitisha chini ya miguu ya ngome ya wachezaji baada ya wao kuruka wakizani atapiga juu, hiyo free kick ilitingisha nyavu.
Hilo ni tabasamu au meno nje/ marefu mkuu?
 
Point yako ni Messi kubebwa kwenye hio ballon dor .
Nikakuambia sneijdner alikua ana msimu bora kabisa 2010 lakini bado uhatarii wa messi na sneijdner messi ni hatariii zaidi maana hata huo mwaka alikua ana 60 goals.
Ila sneijdner alikua na mwaka bora zaidi.
Kigezo Cha balloon d or siyo magoli,vigezo vimekua vikibadilika kufuata performance ya Messi na Ronaldo,ndipo tuzo zilipokua za mchongo na kudharauliwa na watu
 
Na alicheza mpira kipindi ambacho mpira una magwiji wengi aisee, hiyo era ya 1998 mpaka 2008 kulikuwa moto. Miaka miwili mbele grafu ikaanza kushuka na sasa inedumbukia kabisaaa.

Eti Mbappe, Neymar n.k kweli? Griezman, Grealish

Si ajabu wakina Ibra na Benzema bado wako kwenye form mpaka leo kwasababu walicheza enzi za mpira kweli, enzi zenye utaalamu(wenyewe wanasema specialisation) wa eneo fulani kwa mtu fulani.

Ukisema Beckham, mtu anajua ni nini unataka kusema.
Ukisema Pipo, tayari eneo lake linakaa akilini
Batistuta
Ortega
Zizou
Bergkamp
Kluivert
Jay jay
Vieri
Zambrota
Thuram
Claudio T
De Lima
Senna
Scholes
TH14
Viera
CR7
Iniesta
Kaka

Daaa, wengi mno, enlisting wote inahitaji special page.

Yes, Gaucho ni mwamba.
Barikiwa sana mkuu
 
Back
Top Bottom