Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Unanidai kiasi gani mkuu?Umekula lakini?
Sio unakumbuka gaucho wakati una madeni lukuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanidai kiasi gani mkuu?Umekula lakini?
Sio unakumbuka gaucho wakati una madeni lukuki
Umewalist wote alafu ukamsahau Messi bahati mbaya au makusudi? kwani Messi amecheza na wote hao karibia 80% ya maisha yao soka.Na alicheza mpira kipindi ambacho mpira una magwiji wengi aisee, hiyo era ya 1998 mpaka 2008 kulikuwa moto. Miaka miwili mbele grafu ikaanza kushuka na sasa inedumbukia kabisaaa.
Eti Mbappe, Neymar n.k kweli? Griezman, Grealish
Si ajabu wakina Ibra na Benzema bado wako kwenye form mpaka leo kwasababu walicheza enzi za mpira kweli, enzi zenye utaalamu(wenyewe wanasema specialisation) wa eneo fulani kwa mtu fulani.
Ukisema Beckham, mtu anajua ni nini unataka kusema.
Ukisema Pipo, tayari eneo lake linakaa akilini
Batistuta
Ortega
Zizou
Bergkamp
Kluivert
Jay jay
Vieri
Zambrota
Thuram
Claudio T
De Lima
Senna
Scholes
TH14
Viera
CR7
Iniesta
Kaka
Daaa, wengi mno, enlisting wote inahitaji special page.
Yes, Gaucho ni mwamba.
AhahahahahUmewalist wote alafu ukamsahau Messi bahati mbaya au makusudi? kwani Messi amecheza na wote hao karibia 80% ya maisha yao soka.
Waulize Chelsea.Goli la kukata kiuno. Sijawahi kuliona kabla na sitarajii kuliona.
.Uko sahihi mkuu.
Ukiangalia hata balon D'or walikuwa wanapokezana kwa sababu wengi walikuwa bora. Kaka kapata 1, Zizou 1, Figo 1, hata Gaucho mwenyewe alipata 1. Hapo ni miaka ya 1998 onwards..
Machozi yako yapo karibu sana
Nakumbuka kama Gaucho alipata mbiliUko sahihi mkuu.
Ukiangalia hata balon D'or walikuwa wanapokezana kwa sababu wengi walikuwa bora. Kaka kapata 1, Zizou 1, Figo 1, hata Gaucho mwenyewe alipata 1. Hapo ni miaka ya 1998 onwards..
.Nakumbuka kama Gaucho alipata mbili
Jamaa alikuwa mwamba kwa hakika....ktk era yake kulikuwa na viungo wa ushambuliaji zaidi ya kumi kwa kuwataja ambao walikuwa mabingwa haswaa tofauti na kipindi cha akina cr7 na reo10 ambapo hao viungo ni wa kuwatafuta na tochi hata kumi hawafikiAhahahahah
Hapana aisee, nadhani nina mapenzi na wengine ILA unapotaja mchezo wa mpira wa miguu, hakuna namna ukatenganisha mchezo huo na jina Messi hata kama hakutajwa.
Ingawa Messi hakucheza na kina Claudio T, hata hivyo sijawataja kwa kufuata mtirirko wowote, angetokea tu boss, kuna kina
Gudjonsen
D. Dafu
Cafu
Dunga
Davor Suker
Seerdoff
Keane
Viera
N.k
Umemaliza Mkuu!Jamaa alikuwa mwamba kwa hakika....ktk era yake kulikuwa na viungo wa ushambuliaji zaidi ya kumi kwa kuwataja ambao walikuwa mabingwa haswaa tofauti na kipindi cha akina cr7 na reo10 ambapo hao viungo ni wa kuwatafuta na tochi hata kumi hawafiki
Na kipindi hicho kulikuwa na mabeki wa kazi kazi haswa na wenye roho mbaya na Wala hii sheria ya kuwalinda wachezaji nyota dhidi ya mabeki wakorofi haikuwepo,ndo yy aling'aa,sio mchezo mdogo kumfanya Sargado na Hiero kulala na viatu baada ya mechi....Hawa akina reo10 na cr7 wamewakuta akina Marcelo na alves mabeki laini kabisa mabeki wa kushambulia toka lini wakawa na roho Kama zile za akina Nesta au Materazi ambao kwenda mbele ni mwiko kazi yao ni kuosha na kupiga daruga mwanzo mwisho
Mwamba alituburudisha na sisi washabiki na wasio mashabiki wake kila tulipomuona ndani ya pitch tulipenda ikiwezekana pasi zoote apelekewe yeye kwanza
Kabla ya kufungua huo uzi ungemu muona Messi amuulize.
Maana Messi kwa gaucho anasubiri mara 100.
Hili goli ni hatariGoli la kukata kiuno. Sijawahi kuliona kabla na sitarajii kuliona.