Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Kwangu Ronaldo De Lima na Ronaldinho ni magwiji hasa. Hao akina yeboyebo Messi na CR7 ni wakawaida sanaEt wanasema n messi na Christian ronaldo ndo bora.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kabla ya kufungua huo uzi ungemu muona Messi amuulize.Et kuna mwana humu alifungua thread akisema ronadihno gaucho is overrated.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Umekula lakini?
Huyo atakua mchawi tuEt kuna mwana humu alifungua thread akisema ronadihno gaucho is overrated.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Na bila kusahau kabisa gori la kwanza kabisa la Messi pale La liga alipokea assist kutoka kwa gaucho mwenyewe.Maana Messi kwa gaucho anasubiri mara 100.
Umesahau Roberto Carlos Mkuu.Na alicheza mpira kipindi ambacho mpira una magwiji wengi aisee, hiyo era ya 1998 mpaka 2008 kulikuwa moto. Miaka miwili mbele grafu ikaanza kushuka na sasa inedumbukia kabisaaa.
Eti Mbappe, Neymar n.k kweli? Griezman, Grealish
Si ajabu wakina Ibra na Benzema bado wako kwenye form mpaka leo kwasababu walicheza enzi za mpira kweli, enzi zenye utaalamu(wenyewe wanasema specialisation) wa eneo fulani kwa mtu fulani.
Ukisema Beckham, mtu anajua ni nini unataka kusema.
Ukisema Pipo, tayari eneo lake linakaa akilini
Batistuta
Ortega
Zizou
Bergkamp
Kluivert
Jay jay
Vieri
Zambrota
Thuram
Claudio T
De Lima
Senna
Scholes
TH14
Viera
CR7
Iniesta
Kaka
Daaa, wengi mno, enlisting wote inahitaji special page.
Yes, Gaucho ni mwamba.
Alipoaanza kumfuatilia mtoto wa Kocha wa Barcelona (Rijkaard) ndipo mambo yalipoanza kuharibika.Sema gaucho angejiweka mbali na starehe tungefurahia kukiona kipaji chake kwa muda mrefu zaidi
Jamaa angetulia na kupiga matizi na kuepuka kujirusha na anasa zingine angebeba ile ballon d'or kama anasema tu nipeni ni yangu ila ndio hivyoAlipoaanza kumfuatilia mtoto wa Kocha wa Barcelona (Rijkaard) ndipo mambo yalipoanza kuharibika.
Wanayo haki ya kusema hivyo maana kama mpira wameufahamu enzi za hawa watu hapo juzi juzi lazima waseme hivyo..Et wanasema n messi na Christian ronaldo ndo bora.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hesabu za yule 'fala' za kifala sana hahahMara ya kwanza kumuona uwanjani nikiwa mbele ya TV kitu cha kwanza kumkubali ni hali yake ya tabasamu muda wote akiwa uwanjani.
Skills yake ya mpira ni next level.
Kuna free kick moja aliipitisha chini ya miguu ya ngome ya wachezaji baada ya wao kuruka wakizani atapiga juu, hiyo free kick ilitingisha nyavu.