Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Ninaogopa zaidi kufa baada ya kusoma hii, Mshana Jr.
Soma hii itakupa maarifa na ujasiri mpya

 
Mungu aliweka fumbo kubwa sana kwenye kifo, Mungu atabaki kuwa Mungu hakuna tajiri wala fukara kwenye kifo.
Unajuaje Mungu yupo, na kwamba habari za kuwapo kwa Mungu si hadithi za uongo tu tunazohadithiana watu kwa kuwa hatuna majibu?
 
Kifo hakina mazoea ndio maana kwenye Bible kuna mstari unasema HARI ZA KIFO na uchungu wake kama pakanga
Ni kweli kifo hakizoeleki lkn mcha mungu huwa na Amani kwakuwa amejitahidi kutekeleza amri za Muumba wake tofauti na Yule ambaye sio mcha mungu.....pili hata utokaji roho wa mcha mungu ni tofauti na asiye mcha mungu.......

Kwa mujibu wa Imani yangu ya kiislamu.....Malaika huitoa roho ya asiye mcha mungu Kwa namna ambayo inaleta maumivu makubwa tofauti na mcha mungu......
 
Kifo ni Starehe.
 
Mauti ni mawaidha tosha kwa yule mwenye kukumbuka kila kitu ulichokichuma mali,pesa vyote utaviacha duniani ila matendo yako mema au mabaya ayatokuacha utaenda nayo mpaka kaburini mapokeo ya uko kaburini yatategemea na vitu ivyo viwili utakavyoenda navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kaburini hakuna mbu mbona fresh tu
 
Yote uliyoyasikia kuhusu kutolewa roho siyo story ndio mambo yalivyo pale israili anapokuja kukutoa roho mtume muhamad s.a.w anasema maumivu anayoyasikia binadamu pale anapotolewa roho ni sawa umchukue mbuzi akiwa hai then umchune ngozi yake ya mwili yote bado maumivu yake ayafikii maumivu ya roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ni muongozo ulioletwa na mwenyezi mungu ili watu waishi kwa kufuata uwo muongozo, ukiamua kufuata sawa na ukiacha sawa..NB: Kwa sisi waislamu tunafuata muongozo atuangalii nani kafanya nini people change lakini kitabu( Qurani tukufu) aitobadilika kamwe mpaka kiyama kazi kwako wewe unafuata matendo ya watu au kile alichokileta mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika aliyekufa anafeel vyote hivyo?
 
Narudia tena Mauti ni mawaidha tosha kwa yule mwenye kukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hofu ni kwa mtenda..mtendewa hajui lolote wala chochote.
Relax.
Maiti anapokuwa amekufa anaisi anaota kuwa amekufa yani yeye anaona kama ndoto ila pale anapoingizwa kaburini na kufukiwa mwenyezi mungu umrudishia roho yake na ndipo apo anazinduka na kujua kuwa kile alichokuwa anakiota siyo ndoto ni kweli kuwa amekufa upata furaha pale anapowaona wote mliokuja kumzika uhamini kuwa amtokubali kumuacha peke yake na ndipo atakapoanza kuwaita bila sauti yake inasikika na viumbe vyote kasoro binadamu na majini apo ndio atagundua kuwa hana msaada mwingine isipokuwa kwake mwenyezi mungu. niishie apo ni adithi ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inachukua muda gani ukishakufa kukabudhiwa wale mabikira wako 70 na kwenda kwenye mito ya pombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…