Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Shetani amewadanga kuwa eti "roho haifi". Udanganyifu ule ule alioufanya Bustanini kwa kumwambia Eva kuwa; "ukila matunda ya mti huu hautakufa hakika bali utakuwa kama MUNGU".Roho haifi kinachokufa ni mwili uharibikao
Ni bora kuamini kuwa Mungu yupo kuliko kutokuamini halafu mwisho wa siku unakutana na Mungu.Unajuaje Mungu yupo, na kwamba habari za kuwapo kwa Mungu si hadithi za uongo tu tunazohadithiana watu kwa kuwa hatuna majibu?
Humtakii mema wewe?Mkuu, kapicha nasi tuone kama kuna jamaa na marafiki.
Haya maisha ya duniani yanaweza kuwa ni project ya tajiri fulani huo anga za mbali. Huenda tunafugwa kwa ajili ya kitoweo.Ebu fikiria pia unapomkamata kuku na kumchinja na baada ya kumchemsha au kumchoma. Halafu unafurahia nyama tamu
Mtoa mada kaniharibia sikuHahah! Mzee wa dark humor na wewe unaogopa
Unajua umechukulia hili kwa mlango wa imani moja tuu.. Dunia haina imani moja hivyo ni vema ukazisoma na tafsiri zingine juu ya kifo na roho piaShetani amewadanga kuwa eti "roho haifi". Udanganyifu ule ule alioufanya Bustanini kwa kumwambia Eva kuwa; "ukila matunda ya mti huu hautakufa hakika bali utakuwa kama MUNGU".
Udanganyifu huu wa Shetani ndiyo unaendelea mpaka leo. Inasikitisha sana!
Soma kitabu cha Nabii Ezekieli ile aya ya 18 ndiyo utajua kuwa roho inakufa au haifi.
MUNGU hasemi uwongo hata siku moja. Tumwamini MUNGU na NENO lake maana NENO lake ni KWELI tupu.
Unavyokula samaki, kuku n.k; unafikiri maisha yao (hao viumbe) baada ya kifo yameenda wapi?Umejuaje?
Wewe ni SadukayoHakuna mjanja kwenye kifo; wote tuheshimiane na tuishi kwa upendo, tunapita;na hakuna maisha mengine baada ya kifo; kitakachobaki ni histori kwa kizazi ulichokiacha.
Na ni hasa, hayana maana. Mhubiri katika Biblia alisema kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu"!Ukiyafikiria sana maisha unaona ni kama hayana maana vile.
Hapo kwenye ".....kama luninga" umetudanganya. Hakuna aliyewahi kufa akaja kutusimulia inavyokuwa. Tusubiri kuexpeerience wenyewe kuliko kudanganyana!Hakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako. Hiyo ni trela tu.
Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]
AmeeeeenUsiogope kufa, ogopa kufa ukiwa na dhambi.
Iogope "dhambi" zaidi kuliko "kifo" maana kifo kimeletwa na dhambi.
Zishike Amri zote za MUNGU na Injili ya YESU KRISTO nawe utakuwa na amani moyoni mwako hata siku ya kufa ikifika hutakuwa na hofu yoyote maana utakuwa na uhakika wa kufufuliwa na kuishi tena katika Ufalme wa MUNGU milele na milele.
Mwenye masikio na asikie!
Sikuandika ili uamini lakini bali nimeandika ninachokijuaHapo kwenye ".....kama luninga" umetudanganya. Hakuna aliyewahi kufa akaja kutusimulia inavyokuwa. Tusubiri kuexpeerience wenyewe kuliko kudanganyana!
Naona tunaendelea kutishana sasa kaka mshana kila mara nawambia siri ya mtungi aijuaye kataHakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako. Hiyo ni trela tu.
Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]