Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Kuna magereza yanakuita hapa tz ,utazunguka magereza yote mkuu mpka uje utoke sio Leo ,,Kuna mtu ana kesi ya ubakaji Tena ya mfanya kazi wa ndan tunavyo ongeaSijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu
Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi sitaki kuingia kwenye ngono kwa sasa mpaka nione wakuu