Nikiona maziwa ya mwanamke napata msisimko na kurukwa na akili

Nikiona maziwa ya mwanamke napata msisimko na kurukwa na akili

😂😂😂 ruka ruka.. ila ukitua chini nijibu hili swali
👇
Akili ni nini?
Akili ni uwezo wa kufikiri kwa mapana na kuchatata taarifa mbalimbali kwa usahihi na kwa logic pana na kupata majibu sahihi yaliyo bora...mtu ambaye qkili yake imetiishwa na makalio ya mwaname huyo ni mpumbavu sawa na mlevi au mlafi ....nk Akili ndiyo inatakiwa kutawala matamanio ...maamuzi ...hisia ...hasira ....mapenzi ...upendo. wema nk ...na siyo akili kutawaliwa na hivyo vitu ..mfano wema ni neno zuri ila wema unapo tawala akili yako unageuka kuwa upumbavu ...upendo ni jambo jema ila upendo unapo tawala akili yako una kuwa ni upumbavu nk
 
Akili ni uwezo wa kufikiri kwa mapana na kuchatata taarifa mbalimbali kwa usahihi na kwa logic pana na kupata majibu sahihi yaliyo bora...mtu ambaye qkili yake imetiishwa na makalio ya mwaname huyo ni mpumbavu sawa na mlevi au mlafi ....nk Akili ndiyo inatakiwa kutawala matamanio ...maamuzi ...hisia ...hasira ....maoenzi ...upendo. wema nk ...na siyo akili kutawaliwa na hivyo vitu ..mfano wemq ni neno zuri ila wema unspo tawala akil8 yako unageukq kuwa upumbavu ...uoendo ni jambo jema ila upendo unapo tawala akili yako una kuwa ni upumbavu nk
Kumbe majibu ulikuwa nayo ila ulikuwa unafurahi tu kuzunguka zunguka.

Haya rudi katika post yako namba 51 usome ulichoandika halafu uje ueleze kwanini mwanaume akipenda viungo vingine katika mwili wa mwanamke unasema ana akili kubwa, lakini akipenda makalio unasema ana akili ndogo.
 
Mwenye akili angalii jambo moja upima mambo mengi sana ndiyo huja na jibu nimekueleza wengi wanaopenda makalio ni kama walevi...mlevi aangalii afya yake wala familia yake anaweza kulewea pesa ya matibabu ya mwanawe .. anakunywa hadi anaugua magonjwa nk
 
Sawa tunaenda taratibu tutafika tu.

Katika post yako namba 61 unasema akili ni uwezo wa kufikiri kwa mapana na kuchakata taarifa mbali mbali kwa usahihi na kwa logic pana na kupata majibu sahihi na yaliyo bora.
Swali.
kwenye tendo la ngono, kati ya makalio na mguu kipi kina ushawishi kwa mwanaume?
 
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu

Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi sitaki kuingia kwenye ngono kwa sasa mpaka nione wakuu
Wanaorukwa na akili huwa hawajijui, ukiona unajijua, basi huwa hurukwi na akili, bali umalaya tu ndo unakuhangaisha. Na dawa yake ni kuuacha
 
Hebu mpigie simu, akueleze kinagaubaga

Kuna chinga mmoja alikuwa anauza nguo za ndani za wanawake, sasa wadada wakija kuulizia tu na kuzishika shika kwa na namna ya kuangalia ipi rangi nzuri, jamaa alikuwa ana dindisha na kujimwagia wazungu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mirembe uhitaji watu kama wewe unaporukwa na akili
Yaani mtu kuongea hisia zake kwa kile anachopenda ni wa mirembe mkuu😅😅, huo ni ugonjwa wetu...hata wewe kama unao mzigo wa maana kifuani you're killing us softly 🤪
 
Back
Top Bottom