Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Nashukuru tu hujatoa siri za watu 😂Shemeji kuna usemi unasema ukilewa usichat, ndicho kilichotokea 😅
Nashukuru tu hujatoa siri za watu 😂Shemeji kuna usemi unasema ukilewa usichat, ndicho kilichotokea 😅
Wamekusikia 😂Na hizi mvua mvua hizi, poleni mlio singo!
Hebu sema vzr maziwa au matiti?Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu
Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi sitaki kuingia kwenye ngono kwa sasa mpaka nione wakuu