Nikiona maziwa ya mwanamke napata msisimko na kurukwa na akili

Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu

Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi sitaki kuingia kwenye ngono kwa sasa mpaka nione wakuu
Haupo peke yako
 
hata ukiyaona ya FaizaFoxy ????
 
Siwi mwehu ila kuna vitu huwa vinanivutia sana kwa mwanamke.
Macho, rangi, shape ya size yani kila kitu kiwepo kiasi, hair style.

Hapo kwenye rangi ndio kabisa
 
mimi nikiona makalio makubwa nakua mweu kabisa moja inakua haikai wala mbili
Ukiona wewe ni wanaume mwenye kuvutiwa na makalio makubwa basi...ki genius kunasema wewe una Akili ndogo sana ...mwanaume yoyote mwenye akili kubwa dalili mojawapo ya msingi ni kutokuvutiwa na makalio makubwa...wanaume wengi wenye akili uvutiwa na miguu na matiti na sura kisha makalio huwa,kitu cha 4 tena yasiwe makubwa sana bali wastani unao landana na miguu...yaani MAKALIO YENYE KULANDANA NA MIGUU
 
Ukiona wewe ni wanaume wenye kuvutiwa na makalio makubwa basi ki genius kunasema wewe una Akili ndogo sana ...mwanaume yeyete mwenye akili kubwa dalili mojawapo ya msingi ni kutokuvutiwa na makalio makubwa...wanaume wengi wenye akili uvutiwa na miguu na matiti na sura kisha makalio huwa,kitu cha 4 tena yasiwe makubwa sana bali wastani unao landana na miguu...yaani MAKALIO YENYE KULANDANA NA MIGUU
Samahani mkuu akili ni nini?
Ukinijibu nataka nione uhusiano wa akili ndogo na kupenda makalio makubwa maana ikiwa hivyo mimi nahisi hata hiyo akili ndogo sitakuwa nayo.
 
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu

Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi sitaki kuingia kwenye ngono kwa sasa mpaka nione wakuu
Tatizo hili lilikuanza tokea ulipoanza kznyonya ziwa la mama yako ama limekupata hivi karibuni?
 
Samahani mkuu akili ni nini?
Ukinijibu nataka nione uhusiano wa akili ndogo na kupenda makalio makubwa maana ikiwa hivyo mimi nahisi hata hiyo akili ndogo sitakuwa nayo.
Akili ni mchanganyiko wa kemikali iliyochanganywa kwenye ubongo ambayo matumizi yake yanategemea ntu na ntu. Mfano huyu anawaza makalio makubwa, yule anawaza maziwa makuu n.k
 
Sawa nini kinamfanya mtu mwenye akili ndogo kutamani makalio makubwa?
 
Samahani mkuu akili ni nini?
Ukinijibu nataka nione uhusiano wa akili ndogo na kupenda makalio makubwa maana ikiwa hivyo mimi nahisi hata hiyo akili ndogo sitakuwa nayo.
Kama unapenda makalio makubwa basi upo sahihi hakuna mwanaume mwenye akili kubwa anaye penda makalio makubwa kuwa ndiyo kigezo kikuu cha kumtamani au kuvutiwa na mwanamke
 
Sawa ila nadhani hili swali hujaliona.
👇
Akili ni nini?
 
Sawa ila nadhani hili swali hujaliona.
👇
Akili ni nini?
Nilisha eleza sana ilo swali na kulijibu mara nyingi sana haoa JF hata siku mbili nimetoka tena kumjibu mtu aliniuliza vipi nasema mtu hana akili wakati ana degree kibao na elimu kubwa nikamwambia kitabu kina elimu ila hakina akili .
 
😂😂😂 ruka ruka.. ila ukitua chini nijibu hili swali
👇
Akili ni nini?
 
Back
Top Bottom