Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
 
Back
Top Bottom