Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

Bora nimtumie mtu nauli anifate kuliko kula msaidizi

Itafikia wakati unatoa maagizo atashindwa kutekeleza akijua ukimkaripia, Jioni hakupi mbunye

Btw, poleni na baridi la Mbeya. Nimetoka huko last week, hilo baridi lake sio la mchezo 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…