Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Wasikariri Hata wabovu tunapita nao vilevile hatuachi kitu
Wasikariri Hata wabovu tunapita nao vilevile hatuachi kitu
Eeeeh taratibu ofsa magonjwa yasioambukiza kama moyo na kisukari mengi .Mtatuua kwa pressure jamani.Nimepiga pumb.u sana wake za watu hapo mbeya.
Huo ni ukweli mchungu wake za watu japo sio wote lakini wengi wao wanapitiwa sana Kama sio boss Basi kuna mfanyakazi mwenzake
Kama ambavyo we me una mama wa Kiroho mke wa Mvuvi wa Kasa pale Nungwi.Haya mambo ukiyafikiria sana hutakuwa na amani. Ila hiyo ya boss inaweza isiwe hatari sana.. mbaya zaidi ni kama mkeo ana baba wake wa kiroho. Hakuna rangi utaacha kuona.
Mdoni yanatoka ila moyoni YANAUMA.As long as sikumkuta BIKRA Sina wasi wasi
Kumekucha na Makucha yake.
Haya mambo ukiyafikiria sana hutakuwa na amani. Ila hiyo ya boss inaweza isiwe hatari sana.. mbaya zaidi ni kama mkeo ana baba wake wa kiroho. Hakuna rangi utaacha kuona.
Nini hiyo? Acha kutumia mafumbo we kada
Kada wa nini tena??Nini hiyo? Acha kutumia mafumbo we kada