Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

Hayo mambo kusma bila mbunye hutoboi ni mazoea tu, truth is unaweza lala vizur bila hiyo kitu

Mi nimeshindwa aisee
Tena naagiza kutoka Tunduma Kyela, na Chimala.

Mbeya imejaa marafiki wa kike wa FB, classmates wa kike, na ma-ex Kibaoooo, NALALAJE MWENYEWE??

Tokea niingie Mbeya 31/07 sijawahi lala mwenyewe.

Hata hivyo:-
Kuna Mbeya pazuri kumejaa swala za kila aina, simba unalalaje mwenyewe??
😳😳😳😳

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cha msingi maisha yaendelee, na wasivunjiane heshima, hayo mengine yapite tu
 
Kugongewa ni mambo ya kawaida..!!!
Kwanini sasa yanapingwa sanaa???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuwa jambo la kawaida hamaanishwi kuwa halitapingwa..
Ukawaida wake unakuja pale, pamoja na kupingwa kote lakini bado jambo hilo lipo na linashika kasi.

Mwanamke halindwi na haeleweki labda mwenyewe tu aamue kujiheshim.

Mwanamke anaweza kumsaliti mwanaume aliyemnunulia gari kwa mwanaume aliyempa elfu 10 ya mafuta.
 
Mkeo kaenda kazini kufanya kazi, acheni mawazo hasi
Screenshot_20250806-205251.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom