Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

Kama mwànamke huku mkuta bikra siyo wako na kama alikua bikra fanya juu chini asiwe na boss wake
 
Haya mambo ukiyafikiria sana hutakuwa na amani. Ila hiyo ya boss inaweza isiwe hatari sana.. mbaya zaidi ni kama mkeo ana baba wake wa kiroho. Hakuna rangi utaacha kuona.
 
Kama ambavyo we me una mama wa Kiroho mke wa Mvuvi wa Kasa pale Nungwi.
 
Haya mambo ukiyafikiria sana hutakuwa na amani. Ila hiyo ya boss inaweza isiwe hatari sana.. mbaya zaidi ni kama mkeo ana baba wake wa kiroho. Hakuna rangi utaacha kuona.

Amen.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…