Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Ukiwa kazini andika sms nataka kula hiki ama kile. Na nikikute juu ya mezq nikifika.
Binafsi nina kijana wa kazi, na ni mpishi mzuri mno. Pia anasimamia kazi nyingine ngumu na nzito hapo kwa boma yangu sababu ni kubwa na ina nyumba kadhaa. Na maisha mazuri sana yasiyo na haya mastress ya ndoa. Mara kuwaza anani-cheat. Hanihudumii. Mvivu nk. Nikitaka papuchi.. na pesa zangu hio sio tatizo kabisa. Nafanya mishe zangu vizuri bila kuvurugwa sababu wake siku izi wivu wao unavuruga mishe. Mfano kuna jamaa kafukuza wafanyakazi watatu wasichana kisa wivu wa mke. Mwingine kaachana na business partner mzuri mwanamke kisa wivu wa mke. Binafsi hakuna mtu anamezea mezea mate mali zangu kama wake wa leo walivyo. Maisha yangu raha kweli kweli.
 
Kama kila kitu kipo na hela unamwachia kuna tatizo. kila siku mi tulikuwa tunagombana ,siyo lunch wala dinner ,lunch gani ya saa kumi.

Nilizira week akajibadilisha ,narudi toka kazini nikiwa nimeshashiba nikifika naoga tu nalala ,akiivisha namwambia nishakula nilikotoka sipendi chakula cha kusubiri. Anakuwa anabaki na maswali kwamba huyu anakula kwa hawara au wapi ,lazima chakula kiive mapema
 
Yani i cannot imagine. Umeoa mtu halafu ni kugombana kila siku na stress kila siku. Poleni sana.
 
we lazima ni mvivu wa kupika ni wale wa kuivisha lunch saa kumi na dinner saa tano usiku,kapike huko watu wale mapema
 
Ukweli unauma. Na ww unafanana na huyo mvivu mwenzako asiyempikia mumewe. Tulia tuliii... tukuangushie nondo leo.
 
watafutieni wake zenu changamoto [emoji23][emoji23]...
watu wengi hawajui kupangilia kazi zao aisee, sisi kwetu tulilelewaga chai iwe tayari saa 1-2 lunch saa7 dinner saa1 usiku wa kuchelewa kula ni wewe mwenyewe... na mimi nmejilea hivyo hivyo nashangaaga kuona namaliza kupika mtu anapeta mchele saa1 au 2

Sent from
 
Hivi mtu si unaoa ili usihangaike na mambo ya kuchepuka? Lakini ndio ivyo. Siku izi michepuko kitu cha kawaida sana sababu ndoa hazina furaha tena. Mtu anatafuta wa kumpatia furaha.
Sasa mtu anarudi home kachoka na hakuna msosi ,si bora ajitafutie zake mchepuko unaojua thamani ya mume?
 
Hata siku moja sijawah kurud nkakuta msosi bado

Bia tamu sana unarudi mapema home ili ugundue nin?
 
Unatoka kazini jioni umechoka, unatamani ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakini ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawili mbele dah!
Hakika inakera sana hyo
 
Chakura [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…