DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
ππππππππMnaoa kisa chura kubwa [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππMnaoa kisa chura kubwa [emoji23][emoji23]
Binafsi nina kijana wa kazi, na ni mpishi mzuri mno. Pia anasimamia kazi nyingine ngumu na nzito hapo kwa boma yangu sababu ni kubwa na ina nyumba kadhaa. Na maisha mazuri sana yasiyo na haya mastress ya ndoa. Mara kuwaza anani-cheat. Hanihudumii. Mvivu nk. Nikitaka papuchi.. na pesa zangu hio sio tatizo kabisa. Nafanya mishe zangu vizuri bila kuvurugwa sababu wake siku izi wivu wao unavuruga mishe. Mfano kuna jamaa kafukuza wafanyakazi watatu wasichana kisa wivu wa mke. Mwingine kaachana na business partner mzuri mwanamke kisa wivu wa mke. Binafsi hakuna mtu anamezea mezea mate mali zangu kama wake wa leo walivyo. Maisha yangu raha kweli kweli.Ukiwa kazini andika sms nataka kula hiki ama kile. Na nikikute juu ya mezq nikifika.
Atwange mchemsho wa mkia yaishe.. Anarudi home yupo freshUkitoka job pita bar
Kama hiyo ya avatar ya mahondaw ?Mnaoa kisa chura kubwa [emoji23][emoji23]
Poleni sana. Mwisho wa siku unakuwa mlevi kupindukia na unakata tamaa kabisa ya maisha.. kisa mke.. poleniHapo ndio bar inapoingia...our second home
Siku izi tunawapata tu hao kiurahisi.. anakupa good time weekend.. then mnaachana. Na hakuna wivu wala stress. Na uchumi ulivyo wala haumpi pesa nyingi.. kidogo tu wanaridhikaMnaoa kisa chura kubwa [emoji23][emoji23]
Yani i cannot imagine. Umeoa mtu halafu ni kugombana kila siku na stress kila siku. Poleni sana.Kama kila kitu kipo na hela unamwachia kuna tatizo. kila siku mi tulikuwa tunagombana ,siyo lunch wala dinner ,lunch gani ya saa kumi.
Nilizira week akajibadilisha ,narudi toka kazini nikiwa nimeshashiba nikifika naoga tu nalala ,akiivisha namwambia nishakula nilikotoka sipendi chakula cha kusubiri. Anakuwa anabaki na maswali kwamba huyu anakula kwa hawara au wapi ,lazima chakula kiive mapema
we lazima ni mvivu wa kupika ni wale wa kuivisha lunch saa kumi na dinner saa tano usiku,kapike huko watu wale mapemaNi mwanaume asiyejielewa pekee anaweza kuanika udhaifu wa mke wake mtandaoni
Tujifunze, siri za ndani hazifai hata kufika sebuleni, tuzimalize ndani kwa ndani
Wanawake ni waelewa sana ukienda nao kwanza kwa kuwatibu kisaikolojia. Nenda nae taratibu, mweleweshe atakuelewa. Yamkini tabia hii alijijengea mwanzo mlipooana/kuanza kuishi pamoja na hukuikemea, akachukulia kama ndo lifestyle unayopendezwa nayo
Jifunze ulikosea wapi, then rekebisha makosa yako/Yenu
Tena hapa kwa sababu tupo mwisho wa mwaka, pangeni pamoja mipango yenu ya mwaka kesho, na hilo liwe moja ya ajenda yenu
Ova
Ukweli unauma. Na ww unafanana na huyo mvivu mwenzako asiyempikia mumewe. Tulia tuliii... tukuangushie nondo leo.Ni mwanaume asiyejielewa pekee anaweza kuanika udhaifu wa mke wake mtandaoni
Tujifunze, siri za ndani hazifai hata kufika sebuleni, tuzimalize ndani kwa ndani
Wanawake ni waelewa sana ukienda nao kwanza kwa kuwatibu kisaikolojia. Nenda nae taratibu, mweleweshe atakuelewa. Yamkini tabia hii alijijengea mwanzo mlipooana/kuanza kuishi pamoja na hukuikemea, akachukulia kama ndo lifestyle unayopendezwa nayo
Jifunze ulikosea wapi, then rekebisha makosa yako/Yenu
Tena hapa kwa sababu tupo mwisho wa mwaka, pangeni pamoja mipango yenu ya mwaka kesho, na hilo liwe moja ya ajenda yenu
Ova
kama kila kitu kipo ndani na yeye ulimwacha chakula inachelewaje aiseeYani i cannot imagine. Umeoa mtu halafu ni kugombana kila siku na stress kila siku. Poleni sana.
Hivi mtu si unaoa ili usihangaike na mambo ya kuchepuka? Lakini ndio ivyo. Siku izi michepuko kitu cha kawaida sana sababu ndoa hazina furaha tena. Mtu anatafuta wa kumpatia furaha.Tafuta mchepuko
Liverpool VPN Aisee njoo huku. Mambo yamenoga πππTafuta mchepuko
Sasa mtu anarudi home kachoka na hakuna msosi ,si bora ajitafutie zake mchepuko unaojua thamani ya mume?Hivi mtu si unaoa ili usihangaike na mambo ya kuchepuka? Lakini ndio ivyo. Siku izi michepuko kitu cha kawaida sana sababu ndoa hazina furaha tena. Mtu anatafuta wa kumpatia furaha.
Hakika inakera sana hyoUnatoka kazini jioni umechoka, unatamani ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakini ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawili mbele dah!
Chakura [emoji3]hakuna Gubu Dada
MWANAMKE lazima ujue MUMEO anapenda kipi na kipi
na chakura kipi akipendi na kipi anapenda
kwa ufupi sisi watu wa pwani SOKONI tunaenda wenyewe na kawaida yangu JODARI na SATO hawaishaji katika friji hasa JODARI huwa ninanua KUNDUCHI ama mbweni ila sana sana KUNDUCHI 7bu ni nafuu wa MWENZI mzima
na anajua ninapenda samaki
hvyo viungo vingine napitia BOMA kila wikiendi au nikiwa town kkoo job kabla soko halijaungua wanapitisha mtaani nanunua 7bu inakuwa nafuu sana na hata wale samaki wa kukaushwa wa mtoni
Kuku huwa tunakula FRESH hatuifadhi kwenye friji Mimi na mwanangu hatupendi nyama ngombe SISI tunapenda samaki yeye anapenda maharage
So mpk linakuja hilo swali la kibwege ujue ndani kila kitu kipo hayo mahoho manyanya mpk yanaoza mm mpk nazi huwa nanunua BOMA kwa mwezi mara 2 7bu huwa sipendi mboga kuungwa n mafuta na wali wa mafuta
So hakuna Gubu ni yeye tu mvulugaji anapenda tu kukukela ukasilike
7bu siku ukitaka chakula fulani huw namtaalifu mapema mfano kama leo nilimwambia mapema tu mchana JIONI pika pilau ila KUKU usichanganye na pilau
pika lost pembeni na zaidi nikamuambia weka na ile ya kunogesha Rosti ile nyanya ya pakti Royco
hivyo elewa wanawake nyinyi miyeyusho
tu sometyme ukishaitwa MRS FULANI