Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.

Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa nidhani kinachofanywa na IGP.

Yamekuwepo matukio kadhaa ambayo jeshi la police la Pueto rico limekuwa likilaumiwa hasa mauaji ya wafanyabiashara.

IGP alisikika akilalama unaweza kumchukia IGP lakini si institution (Jeshi la polisi).

Ngongo kwasasa Pueto rico.
 
Kumbe!
 
Yerewiiiii.... rais mdebwedo
 
Huyo iGP naye ana madhambi yake, kama ubambikaji kesi, nk.
Wacha asomeshwe namba kidogo akili imkae sawa!
 
Unazunguka sana, mnahofia bado kivuli cha mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…