Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.

Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa nidhani kinachofanywa na IGP.

Yamekuwepo matukio kadhaa ambayo jeshi la police la Pueto rico limekuwa likilaumiwa hasa mauaji ya wafanyabiashara.

IGP alisikika akilalama unaweza kumchukia IGP lakini si institution (Jeshi la polisi).

Ngongo kwasasa Pueto rico.
View attachment 2160632
Inatakiwa livunjwe kabisa
 
Kwani IGP wa Pueto rico ni dini gani?
 
Kwani katiba ya Pueto rico Rais anaweza kumfukuza kazi IGP !.Katiba za nchi nyingine za ajabu sana yaani IGP anaweza kumjibu Mkuu wa Nchi.
Huko Pueto rico ni mbali sana sijui kwa undani historia ya nchi hiyo. Kwani Rais wa nchi hiyo alichaguliwa na wananchi wa nchi yake? Kama hakuchaguliwa basi IGP anayo haki ya kumjibu chochote.
 
Hakika mkuu huyu Bi Maza mtu wa kulalamika sana, kutambua nafasi yako na mamlaka yako ilifanya Mzee Magu aogopeke hata kwa kauli zake achilia mbali vitendo
Rais muoga hulalamika huku akitambua mamlaka aliyonayo hahaha. Katika hili lakutambua nguvu ya kiti chake tutammis mwendazake
 
Wewe unahisi jeshi la Siro linaweza kumpindua Rais? Kaa utafakari wengine hao ni mbwembwe tu. Usitishwe na neno "JESHI" la polisi hizi ni siasa tu.
Jeshi lina askari wengi kuliko jeshi lolote Tanzania na isitoshe jeshi hilo hilo ndilo linamlinda mama
 
Kwani katiba ya Pueto rico Rais anaweza kumfukuza kazi IGP !.Katiba za nchi nyingine za ajabu sana yaani IGP anaweza kumjibu Mkuu wa Nchi.
Hata tamaduni za nchi nyingine ni za ajabu sana, zinadhani mwanamke ni dhaifu hivyo mwanamume yeyote anaweza kumwambia mwanamke yeyote maneno yotote na isiwe chochote. Sitaki kuamini kwamba Perto Rico ni nchi ya kusadikika. Ikitokea la kutokea mhusika asilalamike na wala mwingine asilaumiwe.
 
Rais wa huku haijulikana saaaana,kwasababu mara kadhaa amekuwa akisalimia wananchi ‘Nawasalimu kwa jina la Pueto rico’
Nimejalibu ku download picha zake naona mara zote amevaa kibalaghashia. Hivyo dini yake na ya IGP ni tofauti. Huenda hii ndiyo chanzo cha kutoelewana
 
Hii kauli ya Samia ni nzito sana.
Isije ikawa jamaa uwa anamkoromea
Thubuthu! Rais ni rais best. Mwulize Aboud Jumbe, Kambona, Job Ngugai et all. Kwa katiba hii Rais ana nguvu zoooote ndio maana pia Katiba haifai hii. Kinachotakiwa, polisi kama jeshi liongozwe na IGP mwanajeshi wa JWTZ ngazi ya Major General na huku mikoa ya mipakani iongozwe na RPCs toka JWTZ ngazi ya Kanali na Wilaya mchanganyiko wa ma Captain na Polisi. Kazi itafanyika.
 
Sasa Kama samia ana lalamika anajibiwa hivyo hauoni kama SIRO anamkoromea Samia?
siro anapata wapi nguvu ya kumjibu samia hivyo?
Thubuthu! Rais ni rais best. Mwulize Aboud Jumbe, Kambona, Job Ngugai et all. Kwa katiba hii Rais ana nguvu zoooote ndio maana pia Katiba haifai hii. Kinachotakiwa, polisi kama jeshi liongozwe na IGP mwanajeshi wa JWTZ ngazi ya Major General na huku mikoa ya mipakani iongozwe na RPCs toka JWTZ ngazi ya Kanali na Wilaya mchanganyiko wa ma Captain na Polisi. Kazi itafanyika.
 
Huyo IGP anavutiwa kasi ya kuondoka kwa style ya Jobo, atasutwa mpaka akome.
Msuto kama anaopigwa Putin na vyombo vya magharibi hadi Corona imekaa pembeni inashangaa tu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom