Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisha jiona wao ndio wana ongoza nchi. Rais alikuwa Siro, waziri mkuu Kingai. Makamu wa rais Urio. Mbwa akikuzowea sana ata kufuata hadi msikitini..Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.
Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa nidhani kinachofanywa na IGP.
Yamekuwepo matukio kadhaa ambayo jeshi la police la Pueto rico limekuwa likilaumiwa hasa mauaji ya wafanyabiashara.IGP alisikika akilalama unaweza kumchukia IGP lakini si institution (Jeshi la polisi).
Ngongo kwasasa Pueto rico.
View attachment 2160632
Inategemea aina ya Katiba"UONGOZI KAZI NGUMU"
Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.
Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa nidhani kinachofanywa na IGP.
Yamekuwepo matukio kadhaa ambayo jeshi la police la Pueto rico limekuwa likilaumiwa hasa mauaji ya wafanyabiashara.IGP alisikika akilalama unaweza kumchukia IGP lakini si institution (Jeshi la polisi).
Ngongo kwasasa Pueto rico.
View attachment 2160632
IGP wa Puerto Rico hamna kitu hana tofauti na kubwa la majambazi
Sema anaonewa huruma maana yuko karibuni hapa kusitaafu ndio maana anamwacha mwacha ili asitaafu kwa heshimaKatika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico.
Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa nidhani kinachofanywa na IGP.
Yamekuwepo matukio kadhaa ambayo jeshi la police la Pueto rico limekuwa likilaumiwa hasa mauaji ya wafanyabiashara.IGP alisikika akilalama unaweza kumchukia IGP lakini si institution (Jeshi la polisi).
Ngongo kwasasa Pueto rico.
View attachment 2160632
Sema anaonewa huruma maana yuko karibuni hapa kusitaafu ndio maana anamwacha mwacha ili asitaafu kwa heshima
Amuweke mzanzibar mwenzake tu,hakuna tatizo.
Halafu umekaa kibaguzi baguzi sana, mbona hao waZanzibar, wewe egemea kwenye ukweli.Amuweke mzanzibar mwenzake tu,hakuna tatizo.
Wewe unahisi jeshi la Siro linaweza kumpindua Rais? Kaa utafakari wengine hao ni mbwembwe tu. Usitishwe na neno "JESHI" la polisi hizi ni siasa tu.Huyu Mama anaweza kupinduliwa kabla ya tarehe 2025
Wakuu wa vyombo wanaenda kwenye sherehe za uzunduzi?
Hapo ndipo mnapokosea, hivi kwanini mnahisi CHADEMA ndio watakuwa sahihi kwani isiwe TLP, CUF, TADEA, ACT nk?Unaota sana ndoto mbaya mchana kweupe.
Maza Mizinguo atake yeye mwenyewe kufanywa hivyo kwa udhaifu wake.
Nani mwenye ubavu wa kufanya hivyo huko polisi?
Nimesoma humu wengine wanasema jeshi la polisi linaweza kumgomea kufanya kazi naye..., thubutuuu! Nani kwa wakati huu anaweza kudanganywa kuweka kitumbua mchanga. Si JKT wapo hapo, kila siku wanahangaika hawapati kazi?
Kinachoonekana hapa, binafsi sioni wa kumlaumu, kwani pande zote mbili ni mbovu. CCM/serikali ndio wanaosababisha jeshi la polisi lisifanye kazi ipasavyo, kwa sababu polisi ndio wanaolinda maslahi ya CCM.
Mpambano huu, kama kweli kuna mpambano kati ya pande hizi mbili, utakuwa wa manufaa sana kwa taifa letu. Acha wabomoane ili nchi ipumue.
CHADEMA wasikose kutumia nafasi hii kuwafundisha wananchi waelewe tatizo zima lilivyo.. Ni mfumo mbaya unaoendeshwa na CCM yenyewe.
Ni wa kuogopwa sana huyo....Yerewiiiii.... rais mdebwedo