Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Huyu Mama anaweza kupinduliwa kabla ya tarehe 2025

Wakuu wa vyombo wanaenda kwenye sherehe za uzunduzi?
 
Mwisho wa Zirro umefika.
Laana ya kesi ya Mbowe imetimia, Sasa sijui atarudi Ujaluoni au atabaki kuendesha bar zake Dar?

Huku Pueto rico hatuna hayo majina.
 
Kama Polisi ndiyo wanawaweka madarakani badala ya wananchi kwa nini wasiwajibu kwa kibri na nyodo?🐒🐒🐒
 
Acha nisikilize wachambuzi wengine wanasemaje...
 
Ni kwamba PCCB na PT Mambo magumu Hamduni hafai better arudi Prof. Hosseah na PT awekwe mzanzibar mwenye utimamu
 
Mwisho wa Zirro umefika.
Laana ya kesi ya Mbowe imetimia, Sasa sijui atarudi Ujaluoni au atabaki kuendesha bar zake Dar?
Ile Bar ya Butiama pale Chanika nasikia inamlipa sana.
 
Ile Bar ya Butiama pale Chanika nasikia inamlipa sana.
Hawana ujanja wa kuishi nje ya Kazi hawa, kwan mabus ya buffalo, scandinavia yapo wapi.
Hata esther siku mshahara ukikoma nayo yatakoma kuwepo barabarani.
 
Huyu Mama anaweza kupinduliwa kabla ya tarehe 2025

Wakuu wa vyombo wanaenda kwenye sherehe za uzunduzi?
Unaota sana ndoto mbaya mchana kweupe.

Maza Mizinguo atake yeye mwenyewe kufanywa hivyo kwa udhaifu wake.
Nani mwenye ubavu wa kufanya hivyo huko polisi?

Nimesoma humu wengine wanasema jeshi la polisi linaweza kumgomea kufanya kazi naye..., thubutuuu! Nani kwa wakati huu anaweza kudanganywa kuweka kitumbua mchanga. Si JKT wapo hapo, kila siku wanahangaika hawapati kazi?

Kinachoonekana hapa, binafsi sioni wa kumlaumu, kwani pande zote mbili ni mbovu. CCM/serikali ndio wanaosababisha jeshi la polisi lisifanye kazi ipasavyo, kwa sababu polisi ndio wanaolinda maslahi ya CCM.

Mpambano huu, kama kweli kuna mpambano kati ya pande hizi mbili, utakuwa wa manufaa sana kwa taifa letu. Acha wabomoane ili nchi ipumue.
CHADEMA wasikose kutumia nafasi hii kuwafundisha wananchi waelewe tatizo zima lilivyo.. Ni mfumo mbaya unaoendeshwa na CCM yenyewe.
 
Back
Top Bottom