Huyu Mama anaweza kupinduliwa kabla ya tarehe 2025
Wakuu wa vyombo wanaenda kwenye sherehe za uzunduzi?
Unaota sana ndoto mbaya mchana kweupe.
Maza Mizinguo atake yeye mwenyewe kufanywa hivyo kwa udhaifu wake.
Nani mwenye ubavu wa kufanya hivyo huko polisi?
Nimesoma humu wengine wanasema jeshi la polisi linaweza kumgomea kufanya kazi naye..., thubutuuu! Nani kwa wakati huu anaweza kudanganywa kuweka kitumbua mchanga. Si JKT wapo hapo, kila siku wanahangaika hawapati kazi?
Kinachoonekana hapa, binafsi sioni wa kumlaumu, kwani pande zote mbili ni mbovu. CCM/serikali ndio wanaosababisha jeshi la polisi lisifanye kazi ipasavyo, kwa sababu polisi ndio wanaolinda maslahi ya CCM.
Mpambano huu, kama kweli kuna mpambano kati ya pande hizi mbili, utakuwa wa manufaa sana kwa taifa letu. Acha wabomoane ili nchi ipumue.
CHADEMA wasikose kutumia nafasi hii kuwafundisha wananchi waelewe tatizo zima lilivyo.. Ni mfumo mbaya unaoendeshwa na CCM yenyewe.