Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

Walisha jiona wao ndio wana ongoza nchi. Rais alikuwa Siro, waziri mkuu Kingai. Makamu wa rais Urio. Mbwa akikuzowea sana ata kufuata hadi msikitini..
 
Kumbe bwana ziro anaweza kum criticize rais hadharani na bado aka survive kwenye nafasi yake, acha mimi nijichokee hapa.......
 

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20220322-WA0002.mp4
    986.9 KB
Walisha jiona wao ndio wana ongoza nchi. Rais alikuwa Siro, waziri mkuu Kingai. Makamu wa rais Urio/

Haya majina hayatumiki huku Pueto rico ☕️.Majina ya ajabu ajabu utafikiri chanjo ya corona.
 
Sema anaonewa huruma maana yuko karibuni hapa kusitaafu ndio maana anamwacha mwacha ili asitaafu kwa heshima
 
Sema anaonewa huruma maana yuko karibuni hapa kusitaafu ndio maana anamwacha mwacha ili asitaafu kwa heshima

Wakaazi wa Jiji la San Juan wanashangaa,
Kwamba huyu IGP alikuwa akipelekwa mchaka mchaka na Governer mstaafu mtu mdogo sana kiitifaki.Iweje leo amkoromee mtu mkubwa mwenye uwezo unaokaribiana na Mungu kwa mujibu wa katiba waliojitengenezea !.
 
Kaweida jeshi la polilisi linapokuwa limejikwa ni bora ikatumika hekima ya kuwaita viongozi wao na kuwapa maelekezo kuliko kuwananga mbele ya wananchi.kwa sio wote wanua watu na mazingira ya tukio huwa sisi hatuyajui.
 
Huyu Mama anaweza kupinduliwa kabla ya tarehe 2025

Wakuu wa vyombo wanaenda kwenye sherehe za uzunduzi?
Wewe unahisi jeshi la Siro linaweza kumpindua Rais? Kaa utafakari wengine hao ni mbwembwe tu. Usitishwe na neno "JESHI" la polisi hizi ni siasa tu.
 
Hapo ndipo mnapokosea, hivi kwanini mnahisi CHADEMA ndio watakuwa sahihi kwani isiwe TLP, CUF, TADEA, ACT nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…