Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua .
Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana .
Tundu lissu baada ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti imekuwa shida sana kiasi kwamba wengine wanamuona msaliti
Kwa mazingira haya ni wazi kwamba akikosa uenyekiti mazingira yake pale CDM yatakuwa sio rafiki sana
Lakini ukweli utabaki pale pale , tunahitaji mabadiliko, tunahitaji Chama imara .
Nadhani NCCR MAGEUZI ni sehemu sahihi hawa wanasiasa wanaweza ungana na kutengeneza nguvu kubwa sababu ushawishi na Nguvu wanazo .