Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

Mbatia alishatimuliwa NCCR. Kwa Sasa NCCR ipo mikononi mwa Selasini. Shida unaongea kana kwamba NCCR bado ni ile ya kina Mrema.
 
Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua .

Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana .

Tundu lissu baada ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti imekuwa shida sana kiasi kwamba wengine wanamuona msaliti

Kwa mazingira haya ni wazi kwamba akikosa uenyekiti mazingira yake pale CDM yatakuwa sio rafiki sana

Lakini ukweli utabaki pale pale , tunahitaji mabadiliko, tunahitaji Chama imara .

Nadhani NCCR MAGEUZI ni sehemu sahihi hawa wanasiasa wanaweza ungana na kutengeneza nguvu kubwa sababu ushawishi na Nguvu wanazo .
hopeless, atakisajiri nani? Akili zako............ hao wote ni waropokji, huwezi kuwa na mtu anatoa mashuka ya chumbani anawanonesha watu kuwa angalia mke wangu alivyo mchafu, mashuka hafui n jana tumefanya ngono hajayafua................halafu ukasema wewe una busara........ ndio akina Lusi, Mwabukusi na huyo mama Tanzania
 
Back
Top Bottom